habariyamujini
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 3,094
- 457
Ben pole sana umemwaga hata kwenye baraza pole sana! Komaa na PhD yako hiko ndicho chako hatakunyang'anya mtu kamwe acha akina Yericko Nyerere wapige kwata humu JF.
Yaani CDM kweli hawana shukran hata wewe Ben wamekufanyia hila zote kila upande kila corner kila mahali na kwa kila mtu!
Kumbuka maneno ya Chief Nanga kwa Odili "Take a scholarship go and read more books leave this dirty game of politics to us who knows how to play with" hahaaaaaaa