Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,240
- 13,465
Kutegemea busara za Kikwete katika harakati za kumpata Rais ajaye ni sawa na kuchezea moto!!! Hadharani atawaambia kijana lakini moyoni ana mtu wake above 60....!!
CHANZO:Mwananchi
MY TAKE:
Hiki kitakuwa kipimo kizuri sana cha ile dhana ya "zidumu fikra za mwenyekiti" kama tulivyoshuhidia kwenye Bunge Maakumu la Katiba
CC: waliotangaza nia ya kugombe uraisi kupitia CCM.