Kikwete azidiwa jukwaani, akimbizwa mapumziko

Pole JK .....nahisi ni uchovu ila pia awe anacheki afya yake mara kwa mara.....na kale ka black out akatibiwa asiogope ......
 
Pole Baba yetu, ila ni vema uwe na kiasi kwa majukumu yako. Tuma walio chini yako kuhudhuria hafla hata kama ni za marekani?? !!!!! Unasafiri mno, kaa ofisini upitiea haat paper work basi il ku-refresh mind yako!!!

Huwa najiuliza huwa Rais wetu anapata muda wa kusoma japo page moja ya substance kwa siku?? Usikubali kusaini tu bila kupitia kwa makini hata kama una wasaidizi!!!?? Naamini watu wa UWT mko hapa hasa baada ya tukio la jana ili kupata views za wananchi!!! Yaaah!! Do something to his Advisors!!!

Pia likizo fupi out of office ni muhimu, uwe na muda wa faragha na kupumzika mkuu, vinginevyo mambo ni mazito. Kuwa Rais wa nchi ni kazi nzito.
 
Mtoa hoja Keil,
Mbona mada zako nyingi humu zimekuwa kama pumba?
Unaona Rais Kikwete ana matatizo ya kujitakia, hata wewe Mwenyewe ufukara wa mawazo ya kufikiri, kwa kulinganisha Mwanza na Mbeya ni wa kujitakia.
 
Kanda ya ziwa kuna population kubwa ambayo imeundwa na makabila yanayokaribiana sana na pia kuna shughuli nyingi za kiuchumi na kijamii. Mwanasiasa yeyote hawazi kuchezea sehemu yenye asset kubwa ya kura....
 
Naungana na Pilato,Kwa nini kila siku yeye? Ina maana yeye peke yake ndo huwa uchovu unamzidia? kila siku kisingizio ni uchovu? hebu watuwekee bayana haya mambo.
 
i think watu wameikuza kupitiliza habari hii, nimeangalia habari asubuhi si kama watu wanvyotaka tuamini.hivi hatuwezi kutoa taarifa kama ilivyotokea hadi tuongezee na uongo?
 
i think watu wameikuza kupitiliza habari hii, nimeangalia habari asubuhi si kama watu wanvyotaka tuamini.hivi hatuwezi kutoa taarifa kama ilivyotokea hadi tuongezee na uongo?


uongo ni muhimu ili kuifanya habari inoge!
 
Pole sana ndugu yetu Jk. Tunaappreciate jitihada zako za kuwaletea maendeleo watanzania. Il angalia vizuri ratiba yako ya kazi, you overwork yourself. Pole sana Mungu akupe afya njema.
 
Nadhani wapambe wake JK wangekuwa wanatumia busara zaidi kusisitiza kuwa Mheshimiwa apimwe afya yake na kama ikitakiwa ang'atuke mapema kabla hajajisababaishia madhara makubwa. Hapana hakuna uongo wowote, Rais wetu ni mgonjwa tena sana, na hili tatizo lake la nerve lilikuwa linajulikana hata alipokuwa waziri wa mambo ya nje, na pia alishawahi ku-collapse.

Ushauri wangu kwa wapambe, do not bury your heads in the sand, but face the facts. Same advice for JK, call it quits and take off into the sunset with dignity and your health intact.
 
hapo Mwanza kuna nini?? labda raia wanataka Mwanza califonia waliyoahidiwa :)
Labda ni uchovu kweli maana mr prezident nae anazunguka sana hata hapati muda wa kupumzika
 
Kuna Mkulu mmoja hapa aliwahi sema huko nyuma namnukuu
post_old.gif
21st September 2008, 05:22 PM
Kithuku
user_offline.gif

Kithuku here
JF Senior Expert Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Sun Nov 2006
Posts: 1,155
Thanks: 84
Thanked 899 Times in 440 Posts
Rep Power: 25
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif



icon1.gif
Re: Kikwete safarini Marekani tena
Mambo mawili. Kikwete ni rais wetu na pia ni mwenyekiti wa AU, zote ni nyadhifa zinazompa nafasi mbalimbali za kusafiri kikazi.

La pili kwa Mwanakijiji: Kama kweli huyu mkuu wetu anaumwa kuna umuhimu gani wa kuuweka wazi ugonjwa wake, imetuathiri kiasi gani kama taifa? Au kafikia hatua ya kushindwa kutimiza wajibu wake? Sisi tunamwona anachapa kazi kama kawaida (nisiulizwe mafanikio, hayo yana utaratibu wake wa kuyapima, lakini tunamwona na kumsikia akitenda kazi). Tukianza kuchokonoana nani mwenye pumu, kifafa, gout nk hatutafika popote zaidi ya unyanyapaa usio na msingi wowote.
__________________
"Those who cannot remember the past are condemned to repeat it." George Santayana(1863-1952), U.S Philosopher and Poet. Life of Reason, 'Reason in Common Sense', Scribners, 1905, page 284
 
hapo Mwanza kuna nini?? labda raia wanataka Mwanza califonia waliyoahidiwa :)
Labda ni uchovu kweli maana mr prezident nae anazunguka sana hata hapati muda wa kupumzika

Wauliza Mwanza kuna nini? mshaurini kuwa kila anapoenda kwa watani zake Mwanza ni lazima atoe nondo zake zote za ukwereni aziache Dar, kwenda nazo ni hatari kwani zikiumana na za kisukuma reaction yake ndio hiyo!
icon10.gif

Anyway, Washauri wake wanapaswa kuwajibika moja kwa moja na hili lililotokea....Shame on them!
 
Kikwete hatogombea mwakani; tulilidokeza hili a while ago. Tunamuombea afikie uamuzi huu mapema zaidi ili apate muda wa kushughulikia afya yake.

Mzee Mwanakijiji pole na kazi za shamba, uliahidi kuwa utakuja kuwasimulia wajukuu zako hadithi kabla hawajalala, vipi muda bado? nakukumbusha hapa chini ulivyokuwa umewaahidi

post_old.gif
20th September 2008, 07:39 PM
Mzee Mwanakijiji
user_offline.gif

Mzee Mwanakijiji is extremely upset and tired!
JF Premium Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Fri Mar 2006
Location: Kijijini
Posts: 16,271
Thanks: 11,291
Thanked 15,392 Times in 5,141 Posts
Rep Power: 39
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif



icon1.gif
Re: Kikwete safarini Marekani tena
Atakuwa hapa kwa wiki mbili, pamoja na kufanya yaliyosemwa ataungana na Mama, halafu na yeye mwenyewe atakuwa kwa ajili ya Medical check up. Ana tatizo ambalo nilishadokeza siku nyingi zilizopita na sasa wakati umefika wa kulitilia mkazo, and NO siyo mdudu a.k.a ngoma a.ka umeme kama wengi walivyoaminishwa.

That exclusive from KLHN: Hadi hawa jamaa watakapojua kuwa wa wazi kuhusu afya ya Rais na kwa kadiri wanavyochelewa kuliambia Taifa sisi wengine tutajitolea kufanya hivyo.
__________________
while "they" are talking about it...Project-X:2010 is doing something about it; change is coming; be part of it!

I'm now twittering - If I know it...u'll know it too
 
Hivi likizo yake huwa inakuwaje kwanini asiende likizo tu! MAaana hili analosema ubishi wake litakuja kutuletea tabu baadae. gari huwa linapelekwa service na mwili nao pia unaitaji service pia JK tunaomba upumzike tu jamani hata wiki moja ukipata total bed-rest inaatosha
 
Kikwete alikuwa na Uchovu. Habari ya mapepo kwa Rais si kweli, kwani hata jangwani alizirai, na hapakuwa na maombi pale!
 
Back
Top Bottom