nimie
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 525
- 104
Hahaha niliona hiyo kitu, mara naiona na comment yako! Kweli uongozi kazi na ikulu si mchezo, alisema Nyerere! Nahisi expectation za mkuu zimekuwa tofauti na hali halisi.Mkuu, hiuo picha ya kwanza ukitazama nywele za mh raisi ka vile zinapukutika kichwani! Amechoka sana. Uongozi ni kazi nzito