Kikwete atoa agizo wastaafu wa EAC walipwe!

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Akifanya ziara Wizara ya Fedha na Uchumi pamoja na vitengo vyake.

Rais asiyekubalika ameagiza wazee wa iliyokuwa EAC walipwe madai yao haraka huku akicheka kama kawaida yake, ulikuwa wapi muda wote huo ni usanii.
 
Chanzo News Bulletin Ch 10. Lakini simuamini bado -- baadaye itasemekana hakuna pesa ingawa dhamira alikuwa nayo!
 
Akifanya ziara Wizara ya Fedha na Uchumi pamoja na vitengo vyake...Rais asiyekubalika ameagiza wazee wa iliyokuwa EAC walipwe madai yao haraka huku akicheka kama kawaida yake......ulikuwa wapi muda wote huo ni usanii....
Huyu jamaa hayuko serious kabisa na maisha ya watu.sikuzote alikuwa kimya yaani i have never seen a leader behaving in his stile.
 
Akifanya ziara Wizara ya Fedha na Uchumi pamoja na vitengo vyake...Rais asiyekubalika ameagiza wazee wa iliyokuwa EAC walipwe madai yao haraka huku akicheka kama kawaida yake......ulikuwa wapi muda wote huo ni usanii....

Tatizo la haka kajamaa kanaleta usanii kwenye kila kitu!!
 
Channel ten leo jioni imedai ya kuwa JK ametoa maagizo wastaafu wa iliyokuwa jumuiya ya EAC walipwe mara moja..................................hii kama ni kweli basi CCM imeanza kujipanga upya......................................kuachana na dhuluma dhidi ya raia wanyonge........................lakini tusubiri utekelezaji wake.........................walipwe nini kwanza???????????????????????????

(
iv) Kuhusu malipo ya wasataafu wa iliyokuwa Jumuia ya Afrika Mashariki iliyovunjika, Rais Kikwete ametaka wote wanaostahili kulipwa mafao yao na hawajalipwa hadi sasa walipwe, hata kama ni kweli kuwa wengi wa watumishi hao tayari wamelipwa.

Kilio cha wastaafu ni mapunjo ya malipo yao na kauli hii ya JK haijawagusa............................this is another lost opportunity for JK and cohorts...........................................
 
hiyo ni political decision banaaa

it could be the coolest mikononi mwake
 
Channel ten leo jioni imedai ya kuwa JK ametoa maagizo wastaafu wa iliyokuwa jumuiya ya EAC walipwe mara moja..................................hii kama ni kweli basi CCM imeanza kujipanga upya......................................kuachana na dhuluma dhidi ya raia wanyonge........................lakini tusubiri utekelezaji wake.........................walipwe nini kwanza???????????????????????????
bora walipwe maana siku nyingi sana hawa wazee hawajalipwa haki yao na tubadili mijadala ije mipya sasa
 
Anajivisha ngozi ya kondoo kupitia vyombo vya habari.hizo kauli tushazizoea mbona!.halafu serikali haina hela.
 
PHP:
[B] [IMG]https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon1.png[/IMG] Re: Jk atoa agizo wastaafu wa EAC walipwe!!!!!!!! [/B]

    Utashangaa hata baada ya miaka miwili bado watakuwa wanadai!

Sitashangaa.........hoja hii imejitokeza baada ya malinganisho ya serikali ya JK kushupalia kuwalipa DOWANS wakati wastaafu wanasota kuzungushwa mahakamani...................................................
 
Hivi haya malipo yatazingatia riba na kupungua thamani kwa shilingi tangu kipindi hicho? Tunaomba hili liangaliwe.
 
tusubiri utekelezaji coz asije badae akasingizia eti wasaidizi wake wamemuangusha na kushindwa kutekeleza maagizo yake so keep watching the movie up to the end. ni hayo tu kwa sasa.
 
Mi nitasubiria kushuhudia utekelezaji kama nitakuwepo, kisha nitakuwa na la kusema. Nilikuwepo
 
Usishangilie kwa sababu kasema walipwe, alishasema nadhani wakati wa Mkapa, watu wakalipwa sh 700, 1000, etc, nilikuwa Tanga wakati huo aibu.

Mzee katoka Muheza ndani Teule huko kuja chukua mafao anakuta 700 acha tu. Wazee lakini walitukana matusi si mchezo.
 
sound tupu kwani alikua wapy hadi wazee wa watu wanamwagiwa maji ya upupu???POLITICAL TALK
 
Channel ten leo jioni imedai ya kuwa JK ametoa maagizo wastaafu wa iliyokuwa jumuiya ya EAC walipwe mara moja..................................hii kama ni kweli basi CCM imeanza kujipanga upya......................................kuachana na dhuluma dhidi ya raia wanyonge........................lakini tusubiri utekelezaji wake.........................walipwe nini kwanza???????????????????????????

(

Kilio cha wastaafu ni mapunjo ya malipo yao na kauli hii ya JK haijawagusa............................this is another lost opportunity for JK and cohorts...........................................

Too little too late.
 
Back
Top Bottom