Kikwete atikisa arusha

hapana, hii post iko kushoto mno. hivi kusalimiana na wahudumu wa hoteli na kuranda randa ndani ya fence ya AICC ndo kutikisa? labda kuna post hakuiweka lakini hizi zilizopo ni magumashi tu.
 
khaa! Ndicho ulikuwa unamaanisha?
 
Aibu Kutikisa na mawaiter kwa nini asitikise na wananchi ameichana chana Arusha kwa sababu ya kulinda vitega uchumi vya wanawe Ridhiwani na Halfani he he he he tikisa kajitikisa mwenyewe Arusha mjini anapaon pepo alikuwa anakumbuka sana Ngurudoto amefurahi kuna AfDB
 
Kwa hiyo una maana rais wa UKWELI "kamvua" ubunge rais wa makaratasi?

Rais wako ndio wa karatasi maana alichakachua kura,wa kwangu ni wa Ukweli.Rais wako ni fake maana. Hajui hata kwanini Tanzania ni maskini!
 
Kwa hiyo una maana rais wa UKWELI "kamvua" ubunge rais wa makaratasi?

Endeleeni kujiliwaza! Hamkuona Peoples power ya Ivory kost kwa Alasane Watara ilivyomtimua Rais wa Makaratasi GBagbo,
 
Si tulikuwa tunaambiwa humu kuwa Rais Kikwete anagopa kwenda Arusha imekuaje tena kaenda.

Mkuu hapo bado hajafka Arusha manake sisi tunaishi Arusha lakini hatujui kuwa Yupo Arusha
 
Si tulikuwa tunaambiwa humu kuwa Rais Kikwete anagopa kwenda Arusha imekuaje tena kaenda.


Meku wanatamani convoy ingeenda speed ya lamborgin hivi, mbona hakusimama asalimie wenyenchi(wananchi)?. Still jomba hajiamini sana akiwa Meruland...
 
hapana, hii post iko kushoto mno. hivi kusalimiana na wahudumu wa hoteli na kuranda randa ndani ya fence ya AICC ndo kutikisa? labda kuna post hakuiweka lakini hizi zilizopo ni magumashi tu.

Kula likes tano!
 
Si tulikuwa tunaambiwa humu kuwa Rais Kikwete anagopa kwenda Arusha imekuaje tena kaenda.

mmh bado umevaa gamba wewe na ushabiki hewa,hapo ametikisa nin sas kwa akili yako????
 
jamani hiz heading mnazoziweka humu ziwe japo zinaendana na habari mnayotaka kuitoa.......
 
Si tulikuwa tunaambiwa humu kuwa Rais Kikwete anagopa kwenda Arusha imekuaje tena kaenda.

Kwani wana arusha wanaishi hotelini aje NMC aongee na wakazi wa Arusha....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…