Kikwete atembelea City Hall, apewa barabara

Uzalendo hata kama unampinga Kikwete ni kuhakikisha una support heshima anayopewa nje
ni kwa faida ya Tanzania

Wamarekani woote walilaani pale Bush alipopigwa na kiatu Iraq..
bila kujali ni democrats au Republican

Kikwete kawasaidia sana wakenya...wakimpa heshima ni kitu kizuri kwa kila mtanzania

Heshima anayopewa me nafaidikaje nayo????hao wakenya kila kukicha wanamchora ndo wanamheshimu???mweeeeh
 
Uzalendo hata kama unampinga Kikwete ni kuhakikisha una support heshima anayopewa nje
ni kwa faida ya Tanzania

Wamarekani woote walilaani pale Bush alipopigwa na kiatu Iraq..
bila kujali ni democrats au Republican

Kikwete kawasaidia sana wakenya...wakimpa heshima ni kitu kizuri kwa kila mtanzania

hapana the boss, kikwete binafsi ameshindwa kabisa kuonyesha utaifa na uzalendo, alipopewa nafasi ya kuutubia bunge la kenya nimemsikia akisema kuwa uhusiana wa kenya na tanzania utaendelea kuwa imara na rais atakayemfuatia amemtuma akawaambie hivyo wakenya kuwa ataendelea kusimamia misingi ya mahusiano, na akaendelea kusema huyo aliynituma leo atakua anaunguluma arusha na ataongelea kuhusu mahusiano yake na nchi nyingine. wabunge wa kenya nilipwaangalia walipigwa butwaa na kauli hii.
kilichowashangaza ni kwamba wanatambua zahiri kuwa tanzania kwa hivi sasa ipo katika kampeni za uchaguzi mkuu na kuna wagombea kutoka vyama tofauti, haikutarajiwa kikwete aseme eti rais anayefuata amenituma niwahakikishie na pia leo atakua anaunguluma arusha....hapa alikua akimnadi magufuli. mimi nilitarajia aseme kuwa pamoja na ukinzani wa mawazo tulio nao nawahakikishieni kuwa rais awaye yeyote ajaye atasimamia misingi hii ya mahusiano kati ya kenya na tanzania na majirani wengine, maana ndiyo matakwa ya watanzania. lakini yeye kashindwa kufanya jambo la kizalendo kama hilo, kashindwa kuonyesha ukomavu wa kisiasa na kidemokrasia na kuishia kujipunguza kabisa mbele ya jumuia za kimataifa.

hebu hapo uniambie wewe the boss watanzania tufanye nini ikiwa rais kasahau nafasi yake kwa ajili ya kuendekeza ushabiki binafsi.
Nakumbuka kipindi cha kampeni marekani wakati joji bush anamaliza term yake ya uongozi wa miaka kum alikwenda nchi kadhaa na yeye akaulizwa msimamo wa marekani kuhusiana na mahusiano na mataifa mengine baada ya uchaguzi mkuu, Joji BUSHI alijibu kuwa wasiwe na wasiwasi wamerekani wanatambua umuhimu wa mahusiano hayo na ni jukumu la yeyote atakayeshinda kuyasimamia.

mimi nadhani ungemkosoa kwanza kikwete kwa kitendo cha kutumia jukwaa la kimataifa kufanya kampeni za kumnadi mtu amtakaye na ungemuonya kwa kauli hiyo na athari zake iwapo nchi itaelekea katika machafuko.
 
Yaambie hayo maburura ya Lumumba, yashapovuka macho kwa virushwa na maisha ya wazazi wao wanaoishi kwa uwepo wa CCM. Kiongozi wa nchi huwezi kuoga maneno kama hayo ukifikri ni kikao cha NEC Dodoma.
 
Kama aliasema hivyo kweli basi alishahapa kuwa lazimaawe jpm, iwe usku iwemchana,
 
Wote ni binadamu. Sote tunaonekana ni watu wa vibakuri tu. Afrika nzima. Hakuna wa afadhali.

Acha kuhadaa watu wewe labda wasiotembea. Hii nchi huyo jamaa yako kaidharaulisha sana. Ukitaka kuamini nenda Mtukula border ya Uganda na Tanzania muda wa saa mbili asubuhi,utakuta basi la Taqwa linaenda Kampala na wafanyabiashara wa Dar wamejaa kufuata bidhaa zilizopitia Bandarini Dar. CCM ni zaidi ya kupe na hawafai. Nilikuwa huko na nimeshatoka na sitarudi tena. Kuoshambikia CCM ya 2010 hadi 2015 yakupasa usitambue hata uwepo wa mungu.
 
Biashara haigombi. Biashara ni kuuza na kununua. Ukienda Tunduma utaona Wakongomani, Wazambia kibao wakinunua vitu kutoka Tanzania.

Bahati mbaya mimi siyo mshabiki wa chama chochote na nisingependa kuingia huko. Natazama mambo yalivyo.
 
Nyamaza kabisa kama hufahamu maisha yanategemea siasa na aina ya viongozi,mtu kama umeshindwa kuelewa elimu fupi ya namna bidhaa zilizopitia bandarini Dar zifuatwe Kampala kwa bei nafuu utanielewa nini? Eti huna chama!! Kaishi Vatican au Macca. Naishi migodini Kahama (Bulyanhulu) hakuna maji na barabara ni vumbi harafu unaleta ushabiki usio na tija. Watanzania wezako wanalipwa sh. 700,000/= harafu kaburu anayefanya kazi hiyo hiyo analipwa hadi milioni 40.
 
Kikwete amejenga heshima sana nje kuliko Tanzania.
 
Wakenya wanafahamu Kiswahili. Mbona anatumia Kiingereza kilichojaa fillers?
 
Nyamaza kabisa kama hufahamu maisha yanategemea siasa na aina ya viongozi,mtu kama umeshindwa kuelewa elimu fupi ya namna bidhaa zilizopitia bandarini Dar zifuatwe Kampala kwa bei nafuu utanielewa nini? Eti huna chama!! Kaishi Vatican au Macca. Naishi migodini Kahama (Bulyanhulu) hakuna maji na barabara ni vumbi harafu unaleta ushabiki usio na tija. Watanzania wezako wanalipwa sh. 700,000/= harafu kaburu anayefanya kazi hiyo hiyo analipwa hadi milioni 40.

Ninavyohisi mimi ni kuwa hizo bidhaa zitakuwa rahisi huko Kampala kwa sababu ya kodi yao kuwa chini au ukwepaji wa kodi huko Kampala.

Hatuwezi kulazimishana watu wote kuwa na vyama. Kumbuka kuwa kwenye nchi yeyote mkuu wa nchi hachaguliwi na wanachama bali na wananchi, wenye na wasio na chama ambao wanaguswa na manifesto ya chama fulani, na hasa kwa kumwamini yule atakayeisimamia hiyo manifesto. Kumbuka kuwa Republicans wanaweza kumpigia Rais ambaye ni Democrat na vice versa. Vile vile wanaweza kumpigia mtu ambaye hana chama. Kwani wanachama wa CCM au Chadema Tanzania wapo wangapi? Kama Rais anachaguliwa na wanachama kwa nini wanahangaika na kutafuta kura?

Kuhusu migodi kwa kweli hali ya Tanzania na huenda sehemu nyingi duniani mambo ni magumu. Mambo siyo kama yale ya zamani ya Williamson Diamonds kujenga na kuendesha kimji cha Mwadui.

Expatriates duniani kote wanalipwa pesa nyingi sana. Kwenye maswala ya migodi ndiyo kabisa kabisa.
 
Ngoja nikuache nisikusumbue kwa akina za busara ulizonazo. Kwa kifupi ningependa sana tuangalie upande mwingine.
 
Tutakukumbuka sana Mheshimiwa ulifanya mengi mazuri kwa ajili ya Mama Tanzania;
1. Uanzishwaji wa Chuo Kikuu Dodoma, UDOM kwa kutoa jengo la CHIMWAGA toka CCM (japo wana CCM hawakutaka)
2. Diplomasia za kimataifa (2007/08 Kenya's Post-election violence negotiations talk, South Sudan through Comrade Kinana),
3. Comoro return to civil rule,
4. Outsting M23 in Congo DR.
 
Back
Top Bottom