bongo-live
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 1,580
- 1,941
ni shigidah haha
Vema, wametambua mchango wake kwa lipi hadi kumpa heshima kubwa hivyo?
Mbona Mwai Kibaki alipewa barabara hapa bongo? Tatizo nini kwa JK?Jamani hilo barabara Wakenya kwani nini wasiandike Ng'wanapagi Highway!!!
Mbona Mwai Kibaki alipewa barabara hapa bongo? Tatizo nini kwa JK?
Uzalendo hata kama unampinga Kikwete ni kuhakikisha una support heshima anayopewa nje
ni kwa faida ya Tanzania
Wamarekani woote walilaani pale Bush alipopigwa na kiatu Iraq..
bila kujali ni democrats au Republican
Kikwete kawasaidia sana wakenya...wakimpa heshima ni kitu kizuri kwa kila mtanzania
Nilimpatia mimi?
Ulitakata umpe wewe? Wewe huna mamlaka hayo.
Unajuaje sina?
Najua huna kwani ungekuwa na mamlaka kama hayo basi ungejua viongozi wanapewaje majina ya barabara
Mimi ndiye nimemfikisha hapo alipo na Magufuri pia😛😎[/QUOTE
Hata King Makers hawawi wabia wa ufalme baada ya kumchagua Mfalme.
Mimi ndiye nimemfikisha hapo alipo na Magufuri pia😛😎[/QUOTE
Hata King Makers hawawi wabia wa ufalme baada ya kumchagua Mfalme.
Kwangu yote yanawezekana
Ok. No contest. Sasa kabadilishe lile jina la barabaraKwangu yote yanawezekana
Watanzania wengi bado hawajui siasa, ubinadamu na uzalendo.
Nakumbuka wakati Rais Reagan alipoigwa risasi Nyerere alionyesha masikitiko yake na kumpelekea salamu za kumwombea apone haraka. Kuna watu walilalamika kwa nini Nyerere alifanya hivyo ikizingatiwa kwamba uhusiano kati ya Tanzania na Marekani wakati ule ulikuwa mbaya sana. Ilibidi Nyerere awaeleze wananchi kuwa Reagan ni binadamu kama binadamu yeyote yule.