Nyie semeni tu,ila mnajua ni nini kitatokea kwa viongozi wa ccm mkoa? Maonyo kwa kwenda mbele kwani wamemtia aibu mkuu wa kaya,hawajajipanga kwa kumkaribisha rais
ccm ijiandae kuwa chama imara cha upinzani.
Huyo ni Rais wa wote, wewe uliepiga picha pia ulikuwepo!
Na hawa walienda Ikulu kumuona Rais wa JMT walikuwa wa chama kipi?
Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Mh. Freeman Mbowe wa pili kutoka kushoto wakati walipowasili katika viwanja vya Ikulu kwa ajili ya kuonana na Rais DK. Jakaya Kikwete.
Mkuu wetu wa Itikadi Mh. Nape Nnauye, tafadhali kanusha hii habari.
Sema wametengeneza picha kwenye photoshop, ...sema waslete ujanja wa kama wa wale 'wasomi' wa DATASTAR wa kuandika mabango yanayofanana mwadiko na then kujiita wanafunzi wa UDSM
Picha zimeungwa!
photoshop at work!
huyo ni rais wa wote, wewe uliepiga picha pia ulikuwepo!
Na hawa walienda ikulu kumuona rais wa jmt walikuwa wa chama kipi?
viongozi wa chadema wakiongozwa na mh. Freeman mbowe wa pili kutoka kushoto wakati walipowasili katika viwanja vya ikulu kwa ajili ya kuonana na rais dk. Jakaya kikwete.