Kikwete apokelewa na wanachama CUF badala ya CCM airport Tanga

kwa picha zinavyoonenaka vizuri,alivyoziweka Mag3 yule alikuwa asema ni za kutengeza ubishi umemwisha
 
Mmmh hapa kuna kitu ya kutafakari kwa kina zaidi. Iweje ccm asionekane hata mmoja? Mind u Tanga ndo mkoa pekee ambao hauna mbunge wa upinzani, that means huko ni ccm kwenda mbele. Lakini hata hao cuf waliompokea wanaonekana na nyuso za furaha na wanamshangilia mkulu.
 
Daaah kweli hawa jamaa hawana chao. Ila mimi naona kama vile wote ni wale wale sababu kama ukiwa unaenda kutembelea nyumba fulani halafu usimkute mume, akaja mke kukupokea si ni sawa kakupokea mume tu.
CCM + CUF = NDOA. This is simple mathematics
 
Katika kile kinachooneka kama upepo kugeuka ni kitendo cha Leo Kikwete alivyopokelewa katika Uwanja wa Ndege Tanga,Ambako amekwenda kwa ajili ya Mei Mossi!Huwanja ukiwaumetawaliwa na wanachama wa CUF na bendera huku kukiwa hakuna wanachama wa CCM kama ilivyozoleka. Je hii inaashiria nini?

Haya ndiyo yaliyojiri huko kwa wale wenye ubishi wa kuzaliwa picha hizo hapo Source:Michuzi Blog.

Mytake:CUF siyo kwamba walikuwa hawana kazi ila u can connect the dot.................................
Hii si dalili nzuri kwa chama tawala, hivi kweli CCM wameshindwa kumwandalia M/kiti wao mapokezi au tuseme hakuna viongozi na wanachama wa CCM huko, kwangu ni mpya kwa kweli.
 
what the hek... kama mtu anafikiri inapaswa akae chini ajiulize nini kinaendelea, hata magari na elfu elfu za washiriki zimekosekana. Ila hii ni demokrasia ndio kukua kwa siasa ya nchi yetu. Ni vema kuwa anawezapokelewa na upinzani kwa kuwa kikatiba ni rais wao wote, ila kweli saa ya ukombozi imekaribia.
 
Katika kile kinachooneka kama upepo kugeuka ni kitendo cha Leo Kikwete alivyopokelewa katika Uwanja wa Ndege Tanga,Ambako amekwenda kwa ajili ya Mei Mossi!Huwanja ukiwaumetawaliwa na wanachama wa CUF na bendera huku kukiwa hakuna wanachama wa CCM kama ilivyozoleka. Je hii inaashiria nini?

View attachment 53045View attachment 53046
Haya ndiyo yaliyojiri huko kwa wale wenye ubishi wa kuzaliwa picha hizo hapo Source:Michuzi Blog.

Mytake:CUF siyo kwamba walikuwa hawana kazi ila u can connect the dot.................................

wangekodisha coster ili zibebe wanachama na elfu tano au kumi wangewapa magamba ili wakampokee huyo gamba
 
mke kaenda kumpokea mume! si mnajua CUF ni Mke wa Ndoa wa CCM.wanaimarisha ndoa yao hivyo wengine msitie neno.si unajua katika ndoa Hii CUF alishapewa mimba sasa mtoto keshazaliwa na kapewa jina ADC.
 
nafurahi kuona ndoa za wapendanao hawa ikiendelea kuimarika baada ya leo CCM kumtuma ke wake (CUF)kwenda kumpokea Mkuu wa kaya alipowasili uwanja wa ndege wa Tanga. ndoa hii kama mtakumbuka walifanikiwa kuzaa mtoto ADC baada ya CUF kubeba ujauzito waliopewa na CCM.ndoa Hii naona wanafuraha na huwa nanafururahiana hasa pale wanapolazimika kuyalinda maslai yao. ni hayo tu! naomba kuwasilisha.
 
rais wetu yeye kikubwa ni sherehe za kitaifa na misiba makamu yeye ni kukata utepe mwisho wa vipindi vyao wanalipwa kiinua mgongo na 80% salary per month
 
Nimegundua watu hapa wana chuki binafsi na JK au na CCM sio siasa. Kuwa na vyama vya upinzani sio mwisho wa matatizo ya nchi yo yote ila ni aina fulani ya kichocheo cha kutimiza matakwa ya walio wengi. Bahati mbaya sana sijasikia katika nchi yo yote ya Kiafrika ambayo mabadiliko makubwa yamefanyika baada ya upinzani kushika madaraka. Ninachoona vyama vya upinzani ni mbinu za nchi za magharibi kutugawanya ili waweze kututawala kiuchumi na wakati mwingine kifikra. Tuko busy na kutumia muda mrefu kugombea madaraka badala ya kufanya shughuli za kiuchumi. Nashauri upinzani utumie sera zao kuwaendeleza wananchi katika maeneo ambayo hayategemei serikali badala ya kung'ang'ania kushika madaraka kwanza. Bahati mbaya sana Waafrika tuna ubinafsi fulani baada ya kupata madaraka. Chunguza kwa undani ni nini kinachoendelea huko Misri, Libya, Sudan na nchi za Afrika magharibi, baada ya mabadiliko ya watawala.
 
Katika kile kinachooneka kama upepo kugeuka ni kitendo cha Leo Kikwete alivyopokelewa katika Uwanja wa Ndege Tanga,Ambako amekwenda kwa ajili ya Mei Mossi!Huwanja ukiwaumetawaliwa na wanachama wa CUF na bendera huku kukiwa hakuna wanachama wa CCM kama ilivyozoleka. Je hii inaashiria nini?

attachment.php

attachment.php

View attachment 53045View attachment 53046
Haya ndiyo yaliyojiri huko kwa wale wenye ubishi wa kuzaliwa picha hizo hapo Source:Michuzi Blog.

Mytake:CUF siyo kwamba walikuwab hawana kazi ila u can connect the dot.................................

Sijaelewa maana ya hii action.

Kwa upande mmoja, naelewa watu wa protokali ndiyo hupanga mapokezi

Kwa upande mwingine, nashindwa kuona mantiki ya maandalizi dizaini hii.

What is the messsage being sent. msichanganye wananchi mno bana
 
Mkuu wetu wa Itikadi Mh. Nape Nnauye, tafadhali kanusha hii habari.

Sema wametengeneza picha kwenye photoshop, ...sema waslete ujanja wa kama wa wale 'wasomi' wa DATASTAR wa kuandika mabango yanayofanana mwadiko na then kujiita wanafunzi wa UDSM

Sasa hivi yuko bize na 'raha za pepo', bila shaka atakuwa na yule dem anaye-share na Rostam...
 
Sijaelewa maana ya hii action.

Kwa upande mmoja, naelewa watu wa protokali ndiyo hupanga mapokezi

Kwa upande mwingine, nashindwa kuona mantiki ya maandalizi dizaini hii.

What is the messsage being sent. msichanganye wananchi mno bana

Chezea kikwete wewe!
 
Back
Top Bottom