Habari za uhakika kutoka Wizara husika ya Maji zinasema JK ameogopa kwenda Mwanza kuwa mgeni rasmi kilele cha wiki ya Maji tarehe 22. Badala yake wakapendekeza awakilishwe na Makamu wa Raisi. Inasemekana kuwa JK analiogopa jiji la Mwanza kwa sasa kama ukoma na amesitisha kwa muda ujenzi wa makazi yake ya kupumzikia atakapostaafu huko Mwanza.