Kikwete aogopa kwenda Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete aogopa kwenda Mwanza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LUINASIA, Mar 17, 2011.

 1. L

  LUINASIA New Member

  #1
  Mar 17, 2011
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari za uhakika kutoka Wizara husika ya Maji zinasema JK ameogopa kwenda Mwanza kuwa mgeni rasmi kilele cha wiki ya Maji tarehe 22. Badala yake wakapendekeza awakilishwe na Makamu wa Raisi. Inasemekana kuwa JK analiogopa jiji la Mwanza kwa sasa kama ukoma na amesitisha kwa muda ujenzi wa makazi yake ya kupumzikia atakapostaafu huko Mwanza.
   
 2. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kwanini anaogopa?
   
 3. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,408
  Likes Received: 1,965
  Trophy Points: 280
  na maviwanda yake ya sayona tutayaitaifisha yote wameimaliza nchi kwa ufisadi sasa wanaogopa kun'golewa
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,329
  Likes Received: 19,496
  Trophy Points: 280
  kila mkoa ana nyumba ya kupumzika au?
  Kwa nini asimfuate mwenzake Mkapa huko Lushoto?
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Anajua kuwa hakubaliki kanda ya mza!
   
 6. z

  zamlock JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  kweli kiwanda cha sayona kni cha fisadi huyo?
   
 7. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  labda ana safari ya nje
   
 8. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #8
  Mar 17, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mwanza. JK. Sayona. Ufisadi.
  network haikamati
   
 9. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #9
  Mar 17, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,167
  Likes Received: 1,172
  Trophy Points: 280
  Labda wanaweza tena kumkamata mguu akiwa jukwaani!
   
 10. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #10
  Mar 17, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  source pliz hatupendi habari za kupika na majungu hapa
   
 11. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #11
  Mar 17, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 875
  Trophy Points: 280
  Siyo Mwanza Tu Kwa kifupi hakuna sehemu anayokubalika labda kwa wakwere tu, nako nina mashaka pia!!!!!
   
 12. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #12
  Mar 17, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  unanikumbusha wakati wa kampeni za urais mwaka 2005, alipovamiwa na kijana wa kisukuma akiwa jukwaani mjini mwanza.
   
 13. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #13
  Mar 17, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Majungu ni msamiati mnaoutumia kule KK na kina domokaya. Hata maana yake hatujui. hebu fafanua tafadhali.
   
Loading...