Kikwete and Mwakyembe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete and Mwakyembe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ubungoubungo, Oct 10, 2008.

 1. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2008
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Did kikwete protect mwakyembe enough pale alipojilipua? au amemtelekeza, mshikaji ndo anadondoka hadi bungeni kwa mawazo, mafisadi wanamtafuta, na raisi amemtelekeza. kama angejua haya, mwakyembe angejilipua kule bungeni?
   
 2. M

  Masatu JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Ndio nini?
   
 3. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2008
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  What do you mean?
   
 4. K

  Katibu Tarafa JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2008
  Joined: Feb 16, 2007
  Messages: 980
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  huyu anaitaji kupepewa
   
 5. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2008
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kadondoka lini Mwakyembe???
   
 6. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2008
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kazi kweli mwaka huu!
   
 7. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2008
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Ubungoubungo, hata daladala za kwenda Ubungo zimewekwa vibao vya njia na bei!!! Fafanua unachotaka kusema, ili ueleweke. Usidhani kila mtu anafikiri unachofiki, au kila mtu anajua unachokijua kama usipoandika.
   
 8. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kuna wanaotaka kujenga mlima kutokana na kichuguu
   
 9. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2008
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ubungox2 fafanua mkuu hapa ni kumwaga kila kitu ili tuchambue pumba na mchele.. go on man...
   
 10. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #10
  Oct 10, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  ningeweza kusema lakini nikae kimya lakini I'm so worried about Mwakyembe.
   
 11. RR

  RR JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2008
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Yap, everyone in right senses should be worried about Mwakyembe....
  But hapa kinatakiwa kuongelewa kitu gani....the thread lacks focus.....
  just thinking loudly.
   
 12. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #12
  Oct 10, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Roya Roya; not not just worried. Ukiona mtu mzima analia, ujue kuna kitu kimemliza.
   
 13. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2008
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mzee Mwanakijiji,

  Kama kuna jambo unajua si tuambie tu? Isije ikawa kama ya Amina na ukasema ulituambia.

  Unajua tukilia sana au kuogopa sana hao wabaya ndio furaha yao. Mimi naona njia nzuri ni kuwa positive na maisha au situation. Hata anayetaka kukukaba anaweza kuogopa.
   
 14. RR

  RR JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2008
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  MM ni wewe unaelia au ni Mwakyembe analia?
   
 15. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #15
  Oct 11, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mwanakijiji,

  Ukisema ungeweza kusema lakini unakaa kimya unakuwa tayari umesema.

  Ni kama ile hadithi ya Kiswahili darasa la pili, jamaa alilala chini ya nyasi huku askari wa adui wakipita, akasema "Heri mimi sijasema" askari wakamsikia wakamchoma mkuki.

  I thought we dare talk openly up in here, no?

  Some ghetto secrets you can't rhyme in this song?

  Naona JF inachanganya kijiwe cha Ijumaa mpaka watu wanaona kama wote tumekaa pamoja vile, anagalieni msije kufikiri mpaka hizo physical gestures na facial expressions tunaziona.
   
 16. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #16
  Oct 11, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  Kesho rais atakuwa jimboni kwake, ni kweli mafisadi are attacking him form every corner of this earth, sasa hata watoto wake wanahitaji ulinzi kusafiri kutoka shuleni kurudi nyumbani,

  Tunasema kwamba msimamo wa kiongozi siku zote hupimwa na kwa njia mbali mbali, lakini kiongozi shujaa kama Mwakyembe hufanya kama anavyofanya sasa, yaani husimama imara ingawa majaribio ni makubwa na magumu sana,

  Tunamuombea yeye na wengine wote walioamua kumshika simba sharubu, Mungu awape uzima na maisha marefu kuliko ya mafisadi, na tunamuhaikishia Mwakyembe kwamba hauko peke yako, wananchi wengi tuko nyuma yenu.

  Jumapili nilimbeba fisadi namba moja toka airport mpaka anakokwenda, amechoka kama mbwa, hakuweza kuniangalia usoni anaongea huku anakimbiza uso, ninasema siku zao zinafikia ukingoni, ninaamini kuwa kuna siku atalala hataamka maana amechoka sana, Shujaa Mwakyembe na Kubenea hakuna wasi wasi, maana baadhi ya sisi walalahoi wa got your back, atakayewagusa anatugusa na sisi, na bahati nzuri sana sisi walalahoi wengine hatuna anything to loose au to gain, kwa hiyo protecting you could be fun as well!

  Angalieni mbele tu!

  Mungu Aibariki Tanzania.
   
 17. K

  Kalenge Member

  #17
  Oct 11, 2008
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe dereva? fisadi gani? hana gari tena namba moja? acha stori za vijiwe!

  Huyo Kikwete yuko wapi siku zote hizi kuwachukulia hatua, watakoma nini tena , nani aliyepelekwa jela?. Haii hafai kuandikwa na mtu kama wewe au ndiyo walewale akina Kubenea watoto wa JK, what about JF?

  This is idiotic post
   
 18. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #18
  Oct 11, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  Stori za vijiwe ndio zimekukasirisha hivi? Acha wivu ndugu yangu ridhika na Mungu aliyokupa na alivyo kuumba, wewe ni wewe na mimi ni mimi. Naona hukuelewa nilichosema ni kwamba nilimbeba fisadi namba moja sio gari namba moja, samahani kwa kukuchanganya.

  halafu samahani sana ndugu yangu kwa kukukwaza, bwa! ha! ha! ha! ha' anyways, on a serious note samahani sana ndugu yangu kwa kukukwaza.
   
 19. K

  Kalenge Member

  #19
  Oct 11, 2008
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumeshamalizana kwenye ile thread nyingine.Hapa sikuandika kama nina hasira na wewe!

  Naomba uyapangue maswali hayo, niko serious na those questions!

  Je ulimpa lift fisadi namba moja yupi huyo? na eti hakuwa na gari? ilikuwaje kuwaje? Unasema alikuwa amechoka na mwisho wao uko karibu, mwisho gani huo usioisha? we have not seen anything that Kikwete doing towards these scandals issues! hii unayosema wewe mwisho wao upi huo? nani atauleta huo mwisho? Kama kikwete ana mpango huo wa kuwachukulia hatua unayejua ni wewe tu pengine humu JF!

  Kindly jibu hoja kaka, nieleweshe
   
 20. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #20
  Oct 11, 2008
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  kama mafisadi watapelekwa mahakamani siyo kwa sababu kikwete ni imara, bali itakuwa kwa mshinikizo wa akina slaa. jf, mwakyembe na wengine,

  uelewa wa wananchi ni mkubwa sana sasa hivi. mfano pale uyole jana wanachi waliweka mifuko mitupu ya mbolea barabarani wakamuuliza kikwete hivi, wakati unaingia madarakani mfuko wa mbolea ulikuwa around 17,000, leo ni karibu laki! yale maisha bora yako wapi? na hao wanaoitwa mafisadi wanaotuzuia tusipate maisha bora umewachukulia hatua gani? kumbukeni uyole ni sehemu wanaoishi wananchi wa kawaida kabisa, wengi ni wakulima wa viazi, na kiazi bila mbolea hakuna kitu. jk kama anaweza angesoma hisia za hawa watu
   
Loading...