Tatizo suala la accountability halipo hapa nchini. Kwa hili la umeme ilbidi Ngereja awe alikwisha jiuzuru muda mrefu. Tumeshuhudia watu wakiuawa hovyo na polisi, tumeshuhudia mabomu ya mbagala, gongo la mboto lakini wahusika wapo kimya as if hakuna kilichotokea. Lakini I hope siku itafika wananchi wachoka na kuingia mtaani na hilo ndio litakuwa suluhisho.Sasa ile ratiba walitoa kama danganya toto au maana inaonyesha saa 12 asb hadi jioni na saa 12 jioni hd saa 5 usk na ukiangalia kwa wiki mgao mara 2 tu mmoja usiku mwingne asbh kwa kila eneo akili zao tanesco ziro kabisa na wameingia gharama ya kipuuzi kutoa matangazo yale hy hela bora wangenunulia mafuta ya iptl nyambaf zao
Sioni haja ya kugawagawa umeme.kwanini tusiutumie full time kama wiki moja hivi uishe halafu tukae giza.
Tanesco wakivuka hili hadi december basi hii nchi..No comments...........