Kikwete anasubiri nini kumfukuza kazi Ngeleja?

Huku kukatika 12 jioni na kurudishwa 2 asubuhi,
mimi naomba tanesco tubadilishieni sisi bana.
 
Hata mimi nashangaa......Sijui ni kwa nini kila kampuni mpya ya uzalishaji umeme inapotaka kuingia mkataba na TANESCO ni lazima kutokee mgao mkubwa wa umeme.....Angalia tangu ujio wa awali wa hawa Aggreko, Richmond/Dowans, Symbion na sasa hawa Aggreko tena mara kampuni hizi zinapotaka kusaini mkataba na TANESCO ni lazima nchi iingizwe kwenye mgao mkubwa sana wa umeme.........Au ndio mambo ya kuwaaminisha wananchi kwamba kuna upungufu mkubwa sana wa umeme kwa lengo la kuhalalisha ulaji?...

Inasikitisha sana aisee......

What a coincidence......

Tafakari.....................
 
Sasa ile ratiba walitoa kama danganya toto au maana inaonyesha saa 12 asb hadi jioni na saa 12 jioni hd saa 5 usk na ukiangalia kwa wiki mgao mara 2 tu mmoja usiku mwingne asbh kwa kila eneo akili zao tanesco ziro kabisa na wameingia gharama ya kipuuzi kutoa matangazo yale hy hela bora wangenunulia mafuta ya iptl nyambaf zao
 
dah yaan hii ni more than2much,hawa wa2 wa2achie nchi ye2 yaan utafkr nchi inaongozwa na mtoto bana
 
Sasa ile ratiba walitoa kama danganya toto au maana inaonyesha saa 12 asb hadi jioni na saa 12 jioni hd saa 5 usk na ukiangalia kwa wiki mgao mara 2 tu mmoja usiku mwingne asbh kwa kila eneo akili zao tanesco ziro kabisa na wameingia gharama ya kipuuzi kutoa matangazo yale hy hela bora wangenunulia mafuta ya iptl nyambaf zao
Tatizo suala la accountability halipo hapa nchini. Kwa hili la umeme ilbidi Ngereja awe alikwisha jiuzuru muda mrefu. Tumeshuhudia watu wakiuawa hovyo na polisi, tumeshuhudia mabomu ya mbagala, gongo la mboto lakini wahusika wapo kimya as if hakuna kilichotokea. Lakini I hope siku itafika wananchi wachoka na kuingia mtaani na hilo ndio litakuwa suluhisho.
 
hata taa za barabarani wanaziwekea mgao, duh vibaka watatumaliza
 
Poleni jamani' sis tunaokaa karibu na chuo kikuu (udsm na Ardhi) na kamabi ya Makongo umeme upo full masaa yote!.Jamaa wameigawa nchi wengine hatuna mgao wengine wanataabika na mgao,poleni wakuu.
 
Mara mafuta yameisha...mara mtera maji yamepungua...mara songas tumechoka jamani...na mkurugenzi wa Tanesco nae achape lapa...ni aibu kuonyesha sura yako kwenye tv nakutoa solution ya kitoto..eti tupunguze matumizi yasiyo ya muhimu....ni kichefuchefu...
 
Amani, Amani, Amani! nchi nyingine mkate ukipanda hata senti 10 watu huandamana. Tanzania maandamano kila kukicha,wanasema ni kutafuta haki, je,umeme si haki yetu?
 
Hawa jamaa wameamua kututangazia mgao wa Umeme,na wamesema kua baadhi ya maeneo umeme utakatika kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 12:00jioni,lakini mbona hii ndio ratiba ya zamani.....ambapo kwa sasa mfano hapa kinondoni umeme ulikatika jana saa 12:03 jion hadi leo saa 2:05 asubuhi........
Jambo la kunishangaza ni hizi gharama za kutangaza mgao wa UMEME.....mfano ukisoma gazeti la jana la Mwananchi shirika la Umeme limetangaza ratiba ya mgao,tangazo hilo limeanzia ukurasa wa 15-21,hayo nayo ni malipo......sasa swali la kujiuliza ni kwamba.....mbona ratiba haifuatwi?????pili inakuwaje tena mnaingia gharama zote za kutangaza wakati hatujasikia mgao umekwisha?????
 
JACK umenichekesha sana!tanesco matapeli wa kutupa.jana engineer wa tanesco kasema suala la kujaa matope huwa ni uongo halipo
 
Tanesco wakivuka hili hadi december basi hii nchi..
No comments...........
 
Mwanza wametugonga kuanzia saa8 mchana jana hadi leo saa 2 asubuhi. Wabunge wameshindwa kututetea na serikali ndio inayotukandamiza. Wenye kutegemea umeme kuendesha maisha wanataabika sana na hawana mtetezi. MKOMBOZI WA WANYONGE DR WILBROAD SLAA, ITISHA MAANDAMANO NCHI NZIMA TUIPINGE KADHIA HII INAYOWATAJIRISHA AKINA JK KULETA MAKAMPUNI YAO YA UMEME WA DHARURA KILA MWAKA
 
Back
Top Bottom