Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,263
- 16,288
ngeleja ni kijana wa rosti tamu jk hana uwezo wa kumfanya lolote!!
ndo nini rost tamu?mi mgeni hapa mjini,mweee!
ngeleja ni kijana wa rosti tamu jk hana uwezo wa kumfanya lolote!!
muongo mzushi, mfitini uyo february kama alivyo baba yakemnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni... Bwana makamba ametoa maoni ya msingi sana. Tusubiri tuone matokeo ya huo mkutano. Hadi hapo alipofikia, nampa big up!!
ki ukweli makamba junior anajitofautisha sana na baba yake kwa mambo mengi . si shahbiki wa chama chake, lakn the man is potential. ngeleja hana na wala hatakuwa na jipya kwa sababu uwepo wake kwenye hiyo wizara una baraka za mafisadi
Muta... hapo niko nawewe. Hapa panatafutwa connection au sababu ya...... Hata siku moja Zebra hataacha mistari akizaliwa asiye na mistari basi huyo siyo zebra tena bali ni donkey!!!!Naona kama kuna conection kuzimwa kwa mitambo ya gesi-kutokezea kwa mgao na habari kwamba mitambo ya Dowans imeshauzwa kwa Symbian Power ambao wamesema kwa haraka kwamba wako tayari kuongea na Tanesco ili waiuzie umeme. Si hadithi ya kofia mpya lakini shehe yuleyule wa zamani?