simon james
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 283
- 140
Mfa maji haachi kutapatapa. J.K NI MFA MAJI
kweli anastahili sifa kwa kuchagua mawaziri wabovu,wezi wajeuri walafi.!

Ungeyajuwa yote hayo? ulikuwa unayapata bungeni live kabla ya ujio wa Kikwete?
mfumko wa bei unajulikana kupitia ripoti ya cag?
Mikataba mibovu imejulikana kupitia ripoti ya cag?
Kama ana nia thabiti mfumo wa ukaguzi wa ndani na nje(internal auditor general) ibadilishwe..... Kama kuna nia ya dhati IAG na CAG wasiwe chini ya 'rungu' lake.
Kama kuna nia ya dhati Internal Auditor General angewezeashwa angepewa meno, Internal auditors wakawa independent,
wanbekuwa na nia ya dhati ripoti hizi zingefanyiwa kazi. Kuna umuhimu gani wa ripoti kuwa wazi na kuzifungia makabatini? Baada ya miaka kadhaa zitaishia kufungia maandazi bila hatua yoyote? Hatuhitaji maneno na sifa zisizo na kichwa wala miguu tunahitaji vitendo
Baada ya Rais Kikwete kuunda upya mfumo wa ukaguzi wa mahesabu ya Serikali na baada ya kulazimisha ukaguzi huo uwe unafanywa kwa haraka zaidi, sio kama ilivyokuwa kwa uongozi wa kabla yake, na baada ya kufanya kila njia hesabu hizo ziwe zinajadiliwa kwa uwazi bungeni. Tunaona matunda yake.
Kikwete, unastahili kila sifa njema kwa kuwa mwenye kutoa na kufanya maamuzi kidemokrasia bila kuchukuwa hatua mkononi mwako (udikteta). Tunaona CAG ilivyofanya kazi, hakuna aliyetegemea kama itakuwa hivi.
Wapinzani, wameirukia hoja kama vile ni ubunifu wao, wanasahau kuwa wewe ndiye muasisi wa huu mfumo mpya na wewe ndiye uliyemteua Utoh.
Wanasahau pia kuwa wewe ndiye uliyeamuwa na kuanzisha mfumo wa hizi ripoti za mkaguzi mkuu zijadiliwe bungeni, hakuna aliyekuwa na moyo huo kabla yako. Mungu akuweke uendelee kuonesha njia.
Mkuu auditor sio polisi, akikuandikia taarifa anapaswa kukushauri ufanye nini, then weww ulioshauriwa uchukue hatua/ufanyue kazi ushauri wake, unaweza kumuita mahakamani kama shahidi tu....
Baada ya Rais Kikwete kuunda upya mfumo wa ukaguzi wa mahesabu ya Serikali na baada ya kulazimisha ukaguzi huo uwe unafanywa kwa haraka zaidi, sio kama ilivyokuwa kwa uongozi wa kabla yake, na baada ya kufanya kila njia hesabu hizo ziwe zinajadiliwa kwa uwazi bungeni. Tunaona matunda yake.
Kikwete, unastahili kila sifa njema kwa kuwa mwenye kutoa na kufanya maamuzi kidemokrasia bila kuchukuwa hatua mkononi mwako (udikteta). Tunaona CAG ilivyofanya kazi, hakuna aliyetegemea kama itakuwa hivi.
Wapinzani, wameirukia hoja kama vile ni ubunifu wao, wanasahau kuwa wewe ndiye muasisi wa huu mfumo mpya na wewe ndiye uliyemteua Utoh.
Wanasahau pia kuwa wewe ndiye uliyeamuwa na kuanzisha mfumo wa hizi ripoti za mkaguzi mkuu zijadiliwe bungeni, hakuna aliyekuwa na moyo huo kabla yako. Mungu akuweke uendelee kuonesha njia.
hoja ya msikitini.
Umefanya utafiti wa kutosha? maana inawezekana mazuri kama kuonesha bunge live, CAG reports, PCCB na baadhi ya 'mazuri' unayayasifia ni conditions za 'wafadhili na wahisani'.:tape2:
Hata kama kaamua kuruhusu kwa hiari yake, kama hamna hela zinazorudishwa na wala hamna anayechukuliwa hatua baada ya kujihuzulu au kutokuchaguliwa kwenye baraza jipya la mawaziri anastahili sifa kwa lipi?
Huo ni ufinyu wa kufikiri. Ni wewe ulianzisha mfumo huu ambao leo hii unaweza kuwajua wabadhirifu? funguka kidogo.
Mliibiwa awamu zote za kabla ya Kikwete bila kujijuwa, leo kawaonesha njia mbadala inabidi mumpe kila sifa. Mngeyajuwa haya?
hahahaha!! Watanganyika no wanamagamba mnachekesha sana. Mtu anatimiza robo ya wajibu wake tu halafu mnampa siiiiiiiifa, utafikiri amafanya kitu kisicho tarajiwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!