Niwemugizi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 902
- 462
Watu hawataki kulipa kodi,maendeleo wanayataka,nchi zingine hata tv uliyonayo ndani unaikatia leseni.
Ukitazama jinsi Chenge anavyo waudhi wananchi hadi kuichukia serikali
unajiuliza why anaogopwa namna hiii
Kikwete hawawezi kumfanya lolote huyu Chenge?
Kwanza watu walilamika asiwekwe kwenye baraza la mawaziri
Kikwete akamuweka mwisho Chenge bila woga wala haya akaliuza shirika la reli kwa
wawekezaji vimeo wa kutoka India na kila mtu anajua kilichotokea hadi mwisho serikali
imelirudisha shirika hilo kwa umma....
halafu Chenge akaenda kufanya fitina akateuliwa Mwenyekiti wa Kamati bungeni bila kupigiwa kura
yaani ni uteuzi tu wa Spika kinyume na taratibu na sasa anatumia huo uenyekiti kuzalisha kero mpya
za kila mara kwa Watanzania...hasa kupandisha kodi zisizo na kichwa wala miguu
mfani hii kodi ya simcard licha ya mawaziri wa Kikwete kama January Makamba kuipinga
Chenge ameilazimisha iwepo na mwaka huu anairudisha tena na kodi zingine kupandisha,,,
swali la kujiuliza ni kwa nini huyu mtu Chenge anaogopwa ndani ya CCM hadi na mawaziri na Kikwete pia?
why is Chenge still powerful ndani ya CCM? why Kikwete anamuogopa?
BBC wants you to pay TV
licence fee even if you
dont own a set, as shows
go on iPlayer for longer
Lord Hall, the BBCs director-
general, wants to extend the
£145.50 annual fee in response
to the growing popularity of
iPlayer
Picture: GEOFF PUGH
Twitter Facebook Share
BBCs director-general looks to
extend the £145.50 annual TV
licence fee in response to
iPlayer's growing popularity
Householders could be required
to pay the television licence fee
even if they do not own a
television, under proposals being
discussed by the BBC.
Lord Hall, the BBCs director-
general, wants to extend the
£145.50 annual fee in response
to the growing popularity of
iPlayer, which enables viewers to
watch programmes on home
computers, mobile phones and
tablet devices.
Kutegemea kupata mapato kutoka kwenye kodi za pombe ni kukosa ubunifu; ikitokea hao wanywaji wanaamua kuwa waislam safi na kuacha kugida serikali itapata wapi mapato? Kumbukeni ukimkamua sana ng'ombe mwishowe hatatoa maziwa bali damu!!!
Ukitazama jinsi Chenge anavyo waudhi wananchi hadi kuichukia serikali
unajiuliza why anaogopwa namna hiii
Kikwete hawawezi kumfanya lolote huyu Chenge?
Kwanza watu walilamika asiwekwe kwenye baraza la mawaziri
Kikwete akamuweka mwisho Chenge bila woga wala haya akaliuza shirika la reli kwa
wawekezaji vimeo wa kutoka India na kila mtu anajua kilichotokea hadi mwisho serikali
imelirudisha shirika hilo kwa umma....
halafu Chenge akaenda kufanya fitina akateuliwa Mwenyekiti wa Kamati bungeni bila kupigiwa kura
yaani ni uteuzi tu wa Spika kinyume na taratibu na sasa anatumia huo uenyekiti kuzalisha kero mpya
za kila mara kwa Watanzania...hasa kupandisha kodi zisizo na kichwa wala miguu
mfani hii kodi ya simcard licha ya mawaziri wa Kikwete kama January Makamba kuipinga
Chenge ameilazimisha iwepo na mwaka huu anairudisha tena na kodi zingine kupandisha,,,
swali la kujiuliza ni kwa nini huyu mtu Chenge anaogopwa ndani ya CCM hadi na mawaziri na Kikwete pia?
why is Chenge still powerful ndani ya CCM? why Kikwete anamuogopa?
soma hapo chini.Umeelewa kilichoandikwa sio umekurupuka eti kuna nchi wanalipia leseni ukiwa nayo TV,lielewe bandiko lako.
Tena sisi tunasema kodi za sigara na pombe ziongezwe kwa 500%.
Itakuwa safi sana. Ajali zitapunguwa sana barabarani.
Watu hawataki kulipa kodi,maendeleo wanayataka,nchi zingine hata tv uliyonayo ndani unaikatia leseni.
unataka kusema Tanzania ina rasilimali kuizidi marekani?.Tumia akili yako vizuri, Tanzania kwa rasimali zilizokuwa nazo, Je ni halali mapato ya Serikali kutegema mfuko wa mwananchi tu? Zambia inaishi vizuri sababu ya copper. TZ tuna kila kitu ila majanga, lakini hii yote ni kwa sababu ya watu wenye ubongo kama wako....jielimishe.
"When a fish rots, the head stinks first." Ghanaian Proverb
unataka kusema Tanzania ina rasilimali kuizidi marekani?.
Are sure zambia wana maisha mazuri kuzidi hayo unayoishi hapa bongo?
Sasa washauri hao baba zako njia mbadala ya kupata mapato kwani ukipandisha sana kodi watu watahamia kwenye gongo na bangi; afya zao zitadolola hivyo kuwa wagonjwa watakaohitaji huduma za hospitali ambako kutakuwa hakuna dawa kwani mapato ya pombe na sigara yatakuwa yamepungua!!! Mapato yakipungua sana pengine hata huyu baba yenu mzurulaji atapunguza safari; haya ongezeni hizo kodi by 500%!!
Wasubiri Babako Slaa na mchumba'ke ambae ni mamako Josefina wakichaguliwa na wananchi 2015 watahalalisha.
hivi hata kenya kuna tax holidays kama za hapa bongo? kimsingi mimi nalipa kodi kubwa sana, yahani mara 4 zaidi ya mgodi wa buzwagihata china kwa miaka 5 iliyopita wameongezeka mabilionea lukuki.
Huko america kina dick chen,karl love,bush etc wamepiga madeal ya hatari na halibutorn yao na wamekua matajiri wakubwa na bado wamarekani wanakamuliwa kodi hata kama anaishi nje ya marekani bado anatakiwa kulipa kodi.
Huko kenya wadada kufungua grocery tu leseni ksh 50,000 ambayo ni sawa na milioni kwa hapa,wakati hapa watu wanafungua na kufanya biashara bila kulipa leseni wala kodi,hakuna maendeleo kama kodi hailipwi.
ni nchi gani hizo zilizoendelea ambazo huduma za jamii ni bure?