Atakuwa ni mkono mtupu haulambwi.
Ila la kodi za simu JK ni lazima alitazame kwa jicho la tatu.
............ nje ya mada. Jitahidi pia kupata jiko huku...........
Sawa kabisa! Wamewekeza kwenye uongozi!
Btw, unasound hivyo hivyo kama jina lako! Umejipatia kabisaa! Kimamndenyimandenyi tu!
Ushasema Nchi Zingine Hvy Na Hii Ni Nchi Nyingine Kwahiyo Sio Kila Wakifanyacho Wao Ni Sahihi Hadi Nasisi Tuwaige.
Watu hawataki kulipa
kodi,maendeleo wanayataka,nchi zingine hata tv uliyonayo ndani unaikatia
leseni.
Kama hawaoni faida unatarajia nini? Nenda hizo nchi ukaone hizo kodi zinachofanya, halafu rudi hapa utuambie zinafanya nini.
Usilinganishe wingi wa kodi ila kodi hizo zinafanya nini!
Kikwete mwenyewe fisadi, si unakumbuka kauli yake sasa tunalivua gamba!? Kulivua gamba ilikuwa ni kuwafukuza wale waliokuwa wameshiriki katika ufisadi wa namna moja au nyingine na hivyo kuifanya CCM ionekane chama cha mafisadi. Baada ya kubainika kwamba CCM ilikuwa mbioni kuwafukuza Lowassa, Rostam Chenge na wengineo ndio kukawepo na tetesi kwamba kama watafukuzwa basi wataanika uchafu wa Kikwete hadharani na Ikulu hakutakalika. Hapo ndio ile kauli ya "kulivua gamba" ikaanza kupotezewa na hatimaye kupotea kabisa.
Ni gharama kubwa sana kuwa na kiongozi wa nchi ambaye si msafi. Uchafu wake siku zote humfanya awe muoga kufanya maamuzi mazito, matokeo yake nchi inaenda mrama.
Watu hawataki kulipa kodi,maendeleo wanayataka,nchi zingine hata tv uliyonayo ndani unaikatia leseni.
Toka Kikwete awe Rais hawa wamekuwa mabilionea
1. Lowassa
2.Chenge
3.Ngeleja
4.Riziwani
5.Karamgi
6.Maswi na wengineo
why watu walipe kodi zaidi?
Bora kumuiga Godon na ClintonUshasema Nchi Zingine Hvy Na Hii Ni Nchi Nyingine Kwahiyo Sio Kila Wakifanyacho Wao Ni Sahihi Hadi Nasisi Tuwaige.
hata china kwa miaka 5 iliyopita wameongezeka mabilionea lukuki.
Huko america kina dick chen,karl love,bush etc wamepiga madeal ya hatari na halibutorn yao na wamekua matajiri wakubwa na bado wamarekani wanakamuliwa kodi hata kama anaishi nje ya marekani bado anatakiwa kulipa kodi.
Huko kenya wadada kufungua grocery tu leseni ksh 50,000 ambayo ni sawa na milioni kwa hapa,wakati hapa watu wanafungua na kufanya biashara bila kulipa leseni wala kodi,hakuna maendeleo kama kodi hailipwi.
Atakuwa ni mkono mtupu haulambwi.
Ila la kodi za simu JK ni lazima alitazame kwa jicho la tatu.
............ nje ya mada. Jitahidi pia kupata jiko huku...........
Watu hawataki kulipa kodi,maendeleo wanayataka,nchi zingine hata tv uliyonayo ndani unaikatia leseni.
Kwani TV hatulipii mkuu !! mbona kila mwezi tunalipia king'amui na wenye king'amuzi analipa kodi kwenye fedha nilizolipa au unazungumzia TV kwa vipi mkuu au unaishi nje ya nchi !??Watu hawataki kulipa kodi,maendeleo wanayataka,nchi zingine hata tv uliyonayo ndani unaikatia leseni.