Kama hawaoni faida unatarajia nini? Nenda hizo nchi ukaone hizo kodi zinachofanya, halafu rudi hapa utuambie zinafanya nini.Watu hawataki kulipa kodi,maendeleo wanayataka,nchi zingine hata tv uliyonayo ndani unaikatia leseni.
Watu hawataki kulipa kodi,maendeleo wanayataka,nchi zingine hata tv uliyonayo ndani unaikatia leseni.
Watu hawataki kulipa kodi,maendeleo wanayataka,nchi zingine hata tv uliyonayo ndani unaikatia leseni.
hata china kwa miaka 5 iliyopita wameongezeka mabilionea lukuki.Toka Kikwete awe Rais hawa wamekuwa mabilionea
1. Lowassa
2.Chenge
3.Ngeleja
4.Riziwani
5.Karamgi
6.Maswi na wengineo
why watu walipe kodi zaidi?
Watu hawataki kulipa kodi,maendeleo wanayataka,nchi zingine hata tv uliyonayo ndani unaikatia leseni.
Watu hawataki kulipa kodi,maendeleo wanayataka,nchi zingine hata tv uliyonayo ndani unaikatia leseni.
ulipishe kodi trilion 2 ujue wananchi ndo watazilipa na si hao wafanyabiashara,price lazima zita skyrocket na utarudi hapa kulalamika vilevile.Kwanza tulitaka wakusanye zile wanazosamehe kwa wawekezaji ambazo ni zaidi ya T.2
Kinyume chake ndo hii mipango ya kumnyonya mwananchi na kuneemesha wageni. Ndio sababu tunalalamika.
Ushauri wangu kwako, ni kwamba wakati mwingine uwe unatumia kichwa kufikiri.
Ova
Toka Kikwete awe Rais hawa wamekuwa mabilionea
1. Lowassa
2.Chenge
3.Ngeleja
4.Riziwani
5.Karamgi
6.Maswi na wengineo
why watu walipe kodi zaidi?
Sawa kabisa! Wamewekeza kwenye uongozi!Hao wamewekeza mkuu.
Kuna mahali uliwahi kusema in some coming years utakuwa bilionea. Ni kwa kuwa umeshaanza kuwekeza. Je ungeanza miaka kadhaa nyuma huoni hata wewe ungekuwa kama EL.?
Hii nchi fusa zipo sema sie ni waoga kudhubutu.
Ukitazama jinsi Chenge anavyo waudhi wananchi hadi kuichukia serikali
unajiuliza why anaogopwa namna hiii
Kikwete hawawezi kumfanya lolote huyu Chenge?
Kwanza watu walilamika asiwekwe kwenye baraza la mawaziri
Kikwete akamuweka mwisho Chenge bila woga wala haya akaliuza shirika la reli kwa
wawekezaji vimeo wa kutoka India na kila mtu anajua kilichotokea hadi mwisho serikali
imelirudisha shirika hilo kwa umma....
halafu Chenge akaenda kufanya fitina akateuliwa Mwenyekiti wa Kamati bungeni bila kupigiwa kura
yaani ni uteuzi tu wa Spika kinyume na taratibu na sasa anatumia huo uenyekiti kuzalisha kero mpya
za kila mara kwa Watanzania...hasa kupandisha kodi zisizo na kichwa wala miguu
mfani hii kodi ya simcard licha ya mawaziri wa Kikwete kama January Makamba kuipinga
Chenge ameilazimisha iwepo na mwaka huu anairudisha tena na kodi zingine kupandisha,,,
swali la kujiuliza ni kwa nini huyu mtu Chenge anaogopwa ndani ya CCM hadi na mawaziri na Kikwete pia?
why is Chenge still powerful ndani ya CCM? why Kikwete anamuogopa?
Ishu sio kukatwa kodi mkuu,ishu ni kwamba hiyo kodi inafaidisha wananchi? Hizo nchi unazosema kuwa hata tv unaikatia leseni huduma nyingi za jamii ni bure na unaona kabisa kodi inafanya kazi.Kwetu kodi zinaenda kwenye matumbo ya watu.