They are all diplomats ... Nyerere, aliiwakilisha TANU LEGCO before becoming the first PM, Mwinyi ambassador to Egypt, Mkapa na JK wamewahi kuwa top diplomats ..... FOREIGN AFFAIRS IS STILL THE COMMON DENOMINATOR.Historical fact my foot! Wakati Mwinyi anateuliwa kugombea Uraisi wa TZ hakutokea Foreign Affairs na hajawahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania katika maisha yake yote. Mwaka 1995, alipochaguliwa kuwa Raisi, Waziri wa Mambo ya Nje alikuwa Mh. Joseph Rwegasira. Wafuatao ndio wamewahi kukamata huo wadhifa Tanzania
Now run go tell'em!Wimbo mpya ni wa CCM kuwa madarakani kwa miaka 100 ijayo...ni kweli silaha zipo kuhakikisha hilo!
Katibu Mkuu 🙂🙂
.....Now January ni SAWA tu na Anna Kilango.....
Mimi najuaMwinyi alikuwa waziri wa mambo ya ndani na alijiuzuru kutokana na mauaji yaliyofanywa na maafisa usalama wa taifa huko Shinyanga.Mwinyi, Mkapa, Kikwete .... wote walikuwa Foreign Affairs.
Sijui kuhusu Membe ila mtu wa Foreign Affairs atakuwa mgombea.
This is not a dream, it's a historical fact. CCM hawatashindwa ku-deliver 51%.
Endelea kusoma uziMimi najuaMwinyi alikuwa waziri wa mambo ya ndani na alijiuzuru kutokana na mauaji yaliyofanywa na maafisa usalama wa taifa huko Shinyanga.
never heard of this...fill me in,i hope you ain't lying!
How old are you???
Usipotoshe, mwinyi hajawahi kuwa foreign iwe ubalozi au hata uafisa wa ubalozi achilia mbali uwaziri.
niliposema mvuto sikumaanisha the man(membe)should have a sex appeal,understand me black man,..membe has no record,ya kiutendaji ambayo inaweza kuwa reference point ya kumnadi,we humuoni nchemba anakuja na upuuzi kama kuokoa mabilioni ya mishahara hewa bila kutaja majina ya ghost workers!!!
niliposema mvuto sikumaanisha the man(membe)should have a sex appeal,understand me black man,..membe has no record,ya kiutendaji ambayo inaweza kuwa reference point ya kumnadi,we humuoni nchemba anakuja na upuuzi kama kuokoa mabilioni ya mishahara hewa bila kutaja majina ya ghost workers!!!
Anna Kilango hajawahi kuwa waziri wala Naibu Waziri katika awamu yoyote ile.Anna Kilango alishawahi kuwa waziri siku za nyuma, kuna wenye kumbukumbua hapa watatuambia awapu ipi. Sikumbuki kabla hajafunga ndoa na Malecela baada ya Malecela kumtilekeza Tatu Ntimizi aliyekuwa Mbunge huko Mkoani Tabora au baada ya hapo.
What record Mwinyi, Kikwete and Mkapa had in their times that qualified them presidents? I hope you are not talking about satanic record similar to those of Chenge Lowassa Rostam Karamagi Muhongo Werema and the likes. The country wants a president with moral authority to fight corruption and defend natural resource for the interest of the country as a whole. The past administrations proved failure with these regards as demonstrated by endless scandals of EPA and Richmond style. I am certain CCM isn't set to let the tainted one lead.
Kikwete baada ya kufanya mabadiliko ya mawaziri kuna kitu kimoja nimekiona
kiko very interesting.....January amebaki bado naibu Waziri still'
Ni kama vile amempuuza?
mbona amewa promote kina Simbachewene?Jenista?
kabla ya hapo alishm promote Nyalandu huku January akiwa haamini ameachwa still as naibu waziri..
Now January ni sawa tu na Anna Kilango wote ni manaibu waziri
imebaki miezi tu kwenda kwenye uchaguzi kama January haaminiki hata kupewa
uwaziri kamili ni vipi aaminike kupewa urais?
naona Team January wanapaswa kujiuliza maswali haya sana
wanaweza kampeni ya media vizuuri sana but wamesahau the basics.....
Kikwete baada ya kufanya mabadiliko ya mawaziri kuna kitu kimoja nimekiona
kiko very interesting.....January amebaki bado naibu Waziri still'
Ni kama vile amempuuza?