Naomba nipingane na wewe kuhusu hili la Silverdale, lile shamba baada ya kuingia Middleton alilitransform sana, akawa anacontract mpaka makampuni makubwa ya mbegu za mahindi kama SeedCo, nk. Alikuwa anafanya massive exports ya baby corns kwenda nje pamoja na French Beans.Sio Reginald Mengi, ni Benjamin Mengi, inahusiana na kisa uwekezaji kwenye mradi wa shamba la Silvadale, ambapo Waingereza wawili, mtu na mkewe, Middletons, waliingia ubia na Benjamin Mengi kuwa watawekeza kwenye mradi huo. Benjamini alipoona kuwa sio wawekezaji wa ukweli, bali wanawekeza kwa kusua sua, akawatimulia mbali, kila kitu akabaki nacho.
Wazungu hao wakapeleka kilio chao kila mahali mpaka mahakamani, kesi mpaka leo inapigwa kalenda.
Ila kama ni kweli, Tanzania investment potential, inataka kupigwa biti na just one isolation case, then Uingereza, haitutendei haki. Tumejikuta tuinyenyekea sana kwa sababu ni former colonial masters wetu, its about time, tuachane nao, waende zao, tuite wawekezaji wa China, ni cheaper, more efficient na tutastrike a better deal.
Waende zao!.
Shamba la Silvadale na Mbono lipo Wilaya ya Hai, Kilimanjaro na Benjamini Mengi ni ndugu yake na Reginard Mengishamba la Silvadale, Tusaidiane ili tujue hilo shamba liko wapi? Yaani kwa ujumla ongeza nyama. Nime google sijapata la kunisaidia. Msaada tafadhali
shamba la Silvadale, Tusaidiane ili tujue hilo shamba liko wapi? Yaani kwa ujumla ongeza nyama. Nime google sijapata la kunisaidia. Msaada tafadhali
Westerners wameanza kumdonyoa Kikwete kidogo kidogo mwisho atajikuta anachukiwa kama Mugabe yangu macho na muda.
Sio Reginald Mengi, ni Benjamin Mengi, inahusiana na kisa uwekezaji kwenye mradi wa shamba la Silvadale, ambapo Waingereza wawili, mtu na mkewe, Middletons, waliingia ubia na Benjamin Mengi kuwa watawekeza kwenye mradi huo. Benjamini alipoona kuwa sio wawekezaji wa ukweli, bali wanawekeza kwa kusua sua, akawatimulia mbali, kila kitu akabaki nacho.
Wazungu hao wakapeleka kilio chao kila mahali mpaka mahakamani, kesi mpaka leo inapigwa kalenda.
Ila kama ni kweli, Tanzania investment potential, inataka kupigwa biti na just one isolation case, then Uingereza, haitutendei haki. Tumejikuta tuinyenyekea sana kwa sababu ni former colonial masters wetu, its about time, tuachane nao, waende zao, tuite wawekezaji wa China, ni cheaper, more efficient na tutastrike a better deal.
Waende zao!.
Hawa watu achana nao kabisa wanatafuta sababu ya kuingilia nahisi kuna kitu hakiendi sawa guess what inasemekana tanzania ina host Al Shabaab Kenya wameanza kulalamika.kuchukiwa tu?? hiyo haitoshi..wata mgadafi na kumfededa hovyo hovyo tena mbele za watu na watotot wanashuhudia..unaikumbuka ile picha ya ze utamu???
Hawatusaidii lolote hao waingereza ni heri tusijuane maana wanatajirika kupitia rasilimali zetu bado wanataka sisi ndo tuwanyenyekee, naona waishie tu, hatuna cha kupotez
Hawa watu achana nao kabisa wanatafuta sababu ya kuingilia nahisi kuna kitu hakiendi sawa guess what inasemekana tanzania ina host Al Shabaab Kenya wameanza kulalamika.
Nafumba macho na-imagine jinsi president K, alivyokuwa anasoma karatasi la hotuba yake kwenye hiyo forum!! Toka alivyoanza kulia lia, mi sijawaho ona tofauti...
Acha afanye zake shopping aje kwenye giza letu...
Asante sana babu M.Hawa ni wale so-called investors wananataka kuja mifuko mitupu waondoke na gunia la pesa.Zile zama za kila kitu kujibu ''yes sir'' zimepita,wamekutana na B Mengi ni mwelewa wa mambo na anamsimamo thabiti wakapa majibu wasio tazamia.
Kama hata wameshindwa kulipa mawakili zaidi ya "no win no fee" ambao wanatumiwa na lower and middle class wangepata wapi pesa za kuwekeza kwenye hilo shamba?