Kweli kabisa mkuu, waende zao.
Wanamtetea muingereza mwenzao tapeli wala si muwekezaji.
Piga chini hao waingereza, karibisha wachina.
Siwatetei waingereza lakini wa mbili ni wa mbili tu huwezi kumsusia.Mimi nilifuatilia kesi ile na kusoma nyaraka zote zilizopatikana zikiwemo za kutaka kutumia utajiri wa reginald Mengi ili wajinufaishe kwenye mgogor ule, nikagundua hao ni wababaishaji sana. Walihangaika hadi kule Coca Cola ili kumfungia Mengi ile franchise ya Bonite Bottlers wakakwa, wakakimbilia Word bank ili wazuie msaada uliokuwa umetolewa na benki hiyo kwa makampuni ya IPP, pia wakakwama.
Ukweli ni kuwa watu wale walikuwa wababaishaji tu, siyo wawekezaji, kwani walishindwa kufikia malipo ya dola 120,000 walizokuwa wamekubaliana kuwa ziwe zimelipwa kabla ya mwezi november, wakalipa kidogo kidogo hadi siku ya mwisho wa makubaliano bado walikuwa wanadaiwa kama dola 20,000 hivi waliozlipa karibu wiki moja baada ya siku ya mwisho ya makubaliano kuwa imepita.
Mimi ninasema hivi, "LET them KEEP their England, and we will keep our BONGO."
Ndinani, nakubaliana na wewe, ninachopinga mimi, ni hii ya just one isolated kesi ya two individual people kudhulumiana, halafu kutaka kuturnish image ya nchi bungeni kwao ndio maana nikaseme waende zao.Hata hao mnaosema WACHINA nao watawakimbia kwani nao mmekwishaanza kuwaua!! Mmkweree anatembea dunia nzima kwa starehe zake kwa kisingizio eti anatafuta wawekezaji.
Wawekezaji wa uhakika wakija kama wale wa TWIGA CEMENT mnaanza kuleta mambo ya siasa badala ya kufuata sheria, hivyo basi kwa kutofuata sheria za nchi na kuziheshimu serikali inapoteza fedha bure kufanya promotions za investors kwani hawawezi kuja because of unfavourable investment climate!! Hata hao waliopo nao watafunga virago kwamfano hao wa kiwanda cha cement wamesitisha upanuzi wa kiwanda ambao ungegharimu $100 million.
Hawa vilaza wa serikali yetu hawaoni hasara ya kukosa mapato kutokana na huo mradi kuhamishiwa Congo sababu ya ujinga wao!!
INVESTING IN TANZANIA THE 'SILVERDALE FARM' CASEshamba la Silvadale, Tusaidiane ili tujue hilo shamba liko wapi? Yaani kwa ujumla ongeza nyama. Nime google sijapata la kunisaidia. Msaada tafadhali
Siwatetei waingereza lakini wa mbili ni wa mbili tu huwezi kumsusia.
Kweli kabisa mkuu, waende zao.
Wanamtetea muingereza mwenzao tapeli wala si muwekezaji.
Piga chini hao waingereza, karibisha wachina.
Mheshimiwa nadhani hizo gari unaziona tu lakini hujawahi kuzitumia! Hakuna inayodumu zaidi ya miaka 4 haina tofauti na Mahinra za ccm na wahindi
Ahsante sana mkuu kwa majibu mazuri kwa watu wavivu wa kufikiri kama hao.Acha uvivu wa kufikiri thibitisha kama Mohamed Trans, Deluxe, "Treni ya Dodoma" Mv Bukoba, Spice Islanders kwa kutaja machache, je yametengenezwa na wachina?
Angalia magari aina ya Jiefang, Great wall, Faw na maroli wanayotumia kutengeneza barabara, je, mangapi yanapata ajali za hovyo kama ulivyosema?
Kwanini mpaka leo na uhuru huu wa zaidi ya miaka 50 bado tunawaona na kuwathamini wazungu kama miungu? Why we free ou rminds,bodies and souls and do what is the best for us without fear ?!
Mr Roger Gale (North Thanet) (Con): Speaking in Australia this week, President Kikwete of Tanzania urged investors in his country to reinvest the profits from their companies in his country. Unfortunately, as the Foreign and Commonwealth Office well knows, he is the same President Kikwete who is in thrall to the media baron Reginald Mengi and who has done nothing to give satisfaction to my constituents Sarah and Stewart Hermitage, whose farm in Tanzania was stolen from them by Mr Mengi's brother. Could we have a debate in Government time to discuss not only the joys but the dangers of investing in Tanzania?
Sir George Young: I am sorry to hear about that loss of property on the part of my hon. Friend's constituents. I shall certainly raise the issue with the Foreign and Commonwealth Office-the FCO Minister for Europe, my right hon. Friend the Member for Aylesbury (Mr Lidington), is in his place at the moment-and see whether there are any representations it can make to get justice for the people whose property was confiscated.
Tusidanganyane, uwezo wetu ni mdomoni tu lakini vitendo ni sifuri. Kila mswahili mwenye mradi mkubwa anatafuta mbia mzungu, serikali ikitaka kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo inatafuta wazungu - kwani unadhani ni wazungu wanaong'ang'ania kuja kwetu au ni sisi kila siku tupo kwao kuwaomba waje wawekeze ili angalao tupate vibarua, kodi ya serikali na fedha za kigeni za kuagizia bidhaa nje? Waswahili kama maneno yangekuwa yanajenga, tungekuwa nchi ya kwanza kwa maendeleo Duniani.
If you want to free your minds,bodies and souls and do what is the best for us without fear, jiulize kwanza wewe binafsi umefanya nini katika kupunguza utegemezi kwa wazungu. Kama hujaweza hata kutengeneza hata sindano tu ya kushonea, kamwe huwezi kuwa free, huo ndiyo ukweli wenyewe.
Unaweza kusema vinginevyo kwaajili ya kuifurahisha nafsi yako lakini haitabadili maana kuwa hatuwezi kutowategemea wazungu kwa sasa na wala hata miaka ya hivi karibuni kwa kuwa hatuna jitihada zozote za kuondokana na hali ya sasa. Hao Wachina mnaowasema ndiyo wanaoongoza kwa kuvutia vitega uchumi kutoka makampuni ya Ulaya na Amerika, na hiyo imewasaidia kupiga hatua haraka. Sisi hatuwezi kuendelea kwa kuzuia vitega uchumi kutoka mataifa yaliyoendelea.
Kwanini mpaka leo na uhuru huu wa zaidi ya miaka 50 bado tunawaona na kuwathamini wazungu kama miungu? Why we free our minds,bodies and souls and do what is the best for us without fear?!
I like This!! Pia Napenda Watu Wafahamu Wachini is Not the solution to our Problems!! It is Just Another Problem Believe My word!! Time will tell
Kweli kabisa mkuu, waende zao.
Wanamtetea muingereza mwenzao tapeli wala si muwekezaji.
Piga chini hao waingereza, karibisha wachina.
Is not comparing China and Kenya, but Chines and KenyansUko darasa la ngapi ndugu?? Are you really great thinker or?? I bet hujamaliza hata elimu ya kidato cha nne, kusikiza na kuamini maneno ya watu bila hata kufanya utafiti... how can u compare China Na Kenya???