Kikwete anakuja USA tena - This December

This is simple, atakusomea katiba na mlolongo wa mawaziri-kwa maswali kama haya lazima JK awapige bao, jipangeni upya!

Kitila,

Uwezekano wa kuuliza maswali ni mdogo. Jamaa ameogopa tena na amekataa kukutana na watanzania at large ila nasikia anapanga kukutana na few guys (friendly audience).
 
Back
Top Bottom