Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 59
Hayawi hayawi sasa yamekuwa,
Mzee Vasco da Gama AKA Jakaya Mrisho Kikwete anakuja kiwanja tena december hii. Kama hatabadili mawazo, wasaidizi wake wanasema kuwa anakuja kutangaza kitu ambacho tayari kinajulikana na ambacho angeweza kukitangaza kutokea Tanzania na kuokoa pesa kibao za watanzania masikini.
Ingawa kuna report kuwa JK atafanya mambo mengine mengi likiwemo la shoping, kukutana na rafiki yake - Sinclair, na mengine ya siri, Ninamtakia safari njema na mafanikio mema katika ajenda yake ya kuvumbua dunia kwa mara ya tena na tena.
Hata hivyo nina swali dogo, hizi gharama za safari za Kikwete na team yake zinaepukika? na kama haziepukiki, hizi safari ni za muhimu kiasi hicho? Je kuja kutangaza mkutano ambao tayari kila mtu anajua kuwa utafanyika Tanzania ni muhimu kuliko kujenga hospitali ya watoto kule ..... sijui nianze na wapi?