Kikwete anakuja USA tena - This December

Sina hakika kama ataenda huko Minnesota maana hakuna ajuaye ratiba ya Rais (ni vizuri kufanya siri).

So far, tunafanya kampeni ili Kikwete aende Detroit au Chicago ili ahojiwe na Mwanakijiji kupitia KLH news au Bongoradio.

I have my fingers crossed, Kikwete inabidi arushwe live and direct from Bongoradio na baadae awe kwenye podcast ya KLH.

Mazee GQ upoooo?

Brazameni Kikwete Bongo Radio hawezi kuja, maana hakuna mipaka katika uulizaji wa maswali. Yeye atakuwa anataka interview iwe scripted na maswali ayachague yeye. Lakini unajua amekuja right on time kwa ajili ya shopping season na sitoshangaa ukisikia amealikwa kwenye Party za kina Pdiddy kule Hamptons au The Mansion.
 
mengine ya siri??kama yepiiii hayoo watushtua kidoooogo!!!nadhani kuna deal anataka kumalizia kuuza nchi yetu..au anakuja msalimia mgonjwa mwenzie Balali???eh he he heee Tanzania yetuuuu

kati ya hayo ya siri..ni mpango unaovuja wa KUWAPA WAMAREKANI ENEO LA KUJENGA BASE TANZANIA????
 
Brazameni Kikwete Bongo Radio hawezi kuja, maana hakuna mipaka katika uulizaji wa maswali. Yeye atakuwa anataka interview iwe scripted na maswali ayachague yeye. Lakini unajua amekuja right on time kwa ajili ya shopping season na sitoshangaa ukisikia amealikwa kwenye Party za kina Pdiddy kule Hamptons au The Mansion.

Mazee,

Hata asipotaka lakini tutajaribu kuomba exclusive.. you know kind of nice interview lakini iwe live and direct.

Au ikishindikana kabisa basi atupatie waandishi wake, I cant wait for that match kati ya Mwanakijiji na Saliva au January.
 
kati ya hayo ya siri..ni mpango unaovuja wa KUWAPA WAMAREKANI ENEO LA KUJENGA BASE TANZANIA????

Hiyo ya base mbona pia ni ajenda ingawa watabisha hadi mishipa iwapasuke!

Mimi binafsi kama nilivyosema kule kwenye ile thread nyingine naona ni sawa tu Tanzania ikiwa na base ya Marekani, hayo mengine yatakayofuata tutajiju wote.

Kama jamaa wameuza serengeti na ngorongoro, kama jamaa wameuza maeneo yote ya madini, kama wamewapatia Barick wa kibuzwagi haki ya kuchukua mali asili yoyote wapendayo kwa manufaa ya biashara yao!

Kama hayo yote ni kweli? kwa nini basi wasitoe bure (sio kuuza tena) kipande fulani cha bagamoyo ili jamaa aweke hiyo kambi?
 
Mazee,

Hata asipotaka lakini tutajaribu kuomba exclusive.. you know kind of nice interview lakini iwe live and direct.

Au ikishindikana kabisa basi atupatie waandishi wake, I cant wait for that match kati ya Mwanakijiji na Saliva au January.

hahahahahah pouwaaa Mwafrika wa kike, mbona kuna watu wa Kikwete wengine walishamkimbia mwanakijiji pale youngafrican.com. Wakikubali LIVE interview itakuwa bomba sana.

Tena juzi tu hapa nimekubaliana na Nokia Phone Company kurusha BONGO Radio kwenye simu zao. Kwa hiyo hivi sasa kama una simu ya NOKIA ambayo ina-support streaming(GPRS)basi unaweza kuipata Bongo Radio bila ya matatizo.
 
Sina hakika kama ataenda huko Minnesota maana hakuna ajuaye ratiba ya Rais (ni vizuri kufanya siri).

So far, tunafanya kampeni ili Kikwete aende Detroit au Chicago ili ahojiwe na Mwanakijiji kupitia KLH news au Bongoradio.

I have my fingers crossed, Kikwete inabidi arushwe live and direct from Bongoradio na baadae awe kwenye podcast ya KLH.

Mazee GQ upoooo?

Hivi huyu Kikwete amekupwagawisha kabisa? Mbona kila kitu wewe ni Kikwete tuuuu! Halafu inaonekana unatambua fika kuhusu kupagawa huku lakini unashindwa tu kujizuia kumchunguza kiundani na kuanzisha mada za Kikwete kila mara! Au labda una ulterior motives nyingine kwa maana ya kutafuta sifa kwake ukifahamu wasaidizi wake watamweleza kuhusu unayoandika kuhusu yeye halafu awaambie wakutafute ili ukutane naye?
 
hahahahahah pouwaaa Mwafrika wa kike, mbona kuna watu wa Kikwete wengine walishamkimbia mwanakijiji pale youngafrican.com. Wakikubali LIVE interview itakuwa bomba sana.

Tena juzi tu hapa nimekubaliana na Nokia Phone Company kurusha BONGO Radio kwenye simu zao. Kwa hiyo hivi sasa kama una simu ya NOKIA ambayo ina-support streaming(GPRS)basi unaweza kuipata Bongo Radio bila ya matatizo.

Mazeee,

Hayo ndiyo maendeleo yanayotakiwa, kustream ndani ya NOKIA hiyo ni step kubwa mazee.

Keep it up mazee!
 
Hivi huyu Kikwete amekupwagawisha kabisa? Mbona kila kitu wewe ni Kikwete tuuuu! Halafu inaonekana unatambua fika kuhusu kupagawa huku lakini unashindwa tu kujizuia kumchunguza kiundani na kuanzisha mada za Kikwete kila mara! Au labda una ulterior motives nyingine kwa maana ya kutafuta sifa kwake ukifahamu wasaidizi wake watamweleza kuhusu unayoandika kuhusu yeye halafu awaambie wakutafute ili ukutane naye?

Utasema mengi tu mwaka huu ila kitu kimoja niko very sure ni kwamba hutaendelea na matusi yale uloanza nayo kwa hii ID au zile zingine zote ambazo umetumia hapa maana utafungiwa right away!

Good luck!
 
Hivi ukishindwa hoja ndiyo ulete this male chauvinism? Kama unashindwa kusimamia hoja yako usilete "the last time you checked".. yeah mwanamke asimuandikie kiongozi wa kiume ati anataka kutoa huduma? ama kweli wakishindwa hoja, wao huleta vioja!!
 
Mwanakijiji, it's that deep rooted bitterness that I mentioned somewhere...don't you see a pattern here (dating back to bcstimes.com)....?
 
You know what.. sasa naweza kuiona.. I was in this denial for sometime now.. but nuru imenizukia nami sasa naona, Bwana Asifiwe!
 
hii base ndio ile ya AFRICOM, kwa hiyo wanaamisha makao yao makuu Ujeruman na kupeleka Tanzania?
Duh!! inanikumbusha mambo ya Okinawa Japan.

Capitol Hill Muungwana aende Minnesota? wewe una utani sana kule kuna mpinzani wake mmoja mkuu sana na nina uhakika ameshajiandaa na maswali mengi sana.
 
Vasco da GamaNimelipenda Jina hilo linamfaa na kumpendeza Muungwana. 1498 ya Tanzania. Duuh
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa,

Mzee Vasco da Gama AKA Jakaya Mrisho Kikwete anakuja kiwanja tena december hii. Kama hatabadili mawazo, wasaidizi wake wanasema kuwa anakuja kutangaza kitu ambacho tayari kinajulikana na ambacho angeweza kukitangaza kutokea Tanzania na kuokoa pesa kibao za watanzania masikini.

Ingawa kuna report kuwa JK atafanya mambo mengine mengi likiwemo la shoping, kukutana na rafiki yake - Sinclair, na mengine ya siri, Ninamtakia safari njema na mafanikio mema katika ajenda yake ya kuvumbua dunia kwa mara ya tena na tena.

Hata hivyo nina swali dogo, hizi gharama za safari za Kikwete na team yake zinaepukika? na kama haziepukiki, hizi safari ni za muhimu kiasi hicho? Je kuja kutangaza mkutano ambao tayari kila mtu anajua kuwa utafanyika Tanzania ni muhimu kuliko kujenga hospitali ya watoto kule ..... sijui nianze na wapi?

....kwi kwi kwi ha ha ha !!! RAIS WA MAMBO WA NJE, what do we expect?? this guy has lost it for real!!electing him was a grave mistake!!! Another christopher columbus!!! MWK huko kuna kimada for sure, huyu jamaa halali njaa, if u know what i mean!!Check if u can!!!
 
Maswali yangu bado ninayo ila nimepiga simu ubalozi wetu kuuliza kama kuna meeting na waTZ na kama kawaida yao hakuna anayejua ratiba ya Rais (kwa hili ninaelewa sababu za kiusalama).

So far, Tunafanya mpango kuwasiliana na kundi la muziki la BOYZ 2 MEN (wamegrow up big tyme) ili watunge wimbo ambao utakuwa na maswali yetu yote (huu ni utani - joke). Si unajua tena handsome boy lazima atumbuizwe na handsome boyz.

Kuhusu swali la Marekani kuwa na mapokezi mazuri kwa Kikwete, hapa kuna mzee Sinclair na wenzake so tegemea safari nyingi sana za mkuu wa Kaya hapa in the future.

Tusubiri tuone itakuwaje!

All the best Prezidaa wetu, kula nchi mwaya kwani nani atakusema wakati Nyerere ameshakufaaa? Waryoba anazeeka, na Butiku kina RA na magazeti yake yatammaliza tu!
Hii Kali!Na huyo Sinclair ndio nani tena?bajameni tujulishane,tusiachane kizani.Anyways maneno haya kwakweli yanasikitisha!Uongozi wa Tanzania ni msalaba jamani!sio privelage kama viongozi wetu wanavyotaka iwe!Hakuna dedication..ni maneno matamu tu..!yaani inasikitisha sana!
 
Wenzako hawaulizi pembeni ya red carpet....kwani hatakuwa na joint press conference...?
Nyani acha kumuandama Mzee mzima Mwanakijiji!au ni kwasababu ana point kuliko wewe?We huwezi kuona kwamba maana yake halisi ni kwamba hata nafasi ya press conference isipopatikana atajitahidi kupenyeza swali hata kama ni kuwa karibu na red carpet?kwani kuulizwa swali kwenye red carpet kuna shida gani nyani?Nyani na wewe bana..ama bado una kizunguzungu?
 
ndio maana nimewaambia wakagombee na wao wanaweza kushinda...na kama hawapendi kusafiri watakaa nyumbani...

UMEONYESHA PUMBA ZA HALI YA JUU KU SUGESST KWAMBA WAKAGOMBEE NA WAO ILI WAWEZE KUSAFIRI KAMA KIKWETE?MAJIBU YAKO NA FIKRA ZAKO VINATIA MASHAKA NYANI!BADILISHA KIDOGO KAMA TUNATAKA POSITIVE CONVERSATIONS NYANI!
 
Samahani kaka siwezi kubadilika. Hapo mwenzio ndo nimefikia kikomo cha uwezo wangu wa kufikiri. Mwanakijiji ana akili mno kunishinda mimi Nyani labda ndo maana sikumwelewa. Asante kwa kunifafanulia kwa lugha rahisi.
 
Pengine ziara hiyo ni mwaliko wa yule "2nd Lady" wa Houston....just thinking aloud!
 
Mie nasubiri tamko la Ma-sheikh kanzu mbovu, juu ya hiyo kambi ya wamarekani!!. Maana walipoweka Saudia ndio ikazaliwa Qaeda, sasa sijui Bongo itakuwaje? ukijumlisha na kunyimwa kwao kwa mahakama ya Kadhi, basi ili mradi ni burudani.
Bwana JK ni wa kuonewa huruma........maana kakamatwa ktkt ya siasa za karne ya 21, bila ya maandalizi ya kutosha. Ningependa sana kama hiyo kambi yaja Tanzania basi ipelekwe Tanga!!.
Nyani Ngabu usijali, wakina Karl Rove wapo wengi siku hizi.
 
Back
Top Bottom