Maswali yangu bado ninayo ila nimepiga simu ubalozi wetu kuuliza kama kuna meeting na waTZ na kama kawaida yao hakuna anayejua ratiba ya Rais (kwa hili ninaelewa sababu za kiusalama).
So far, Tunafanya mpango kuwasiliana na kundi la muziki la BOYZ 2 MEN (wamegrow up big tyme) ili watunge wimbo ambao utakuwa na maswali yetu yote (huu ni utani - joke). Si unajua tena handsome boy lazima atumbuizwe na handsome boyz.
Kuhusu swali la Marekani kuwa na mapokezi mazuri kwa Kikwete, hapa kuna mzee Sinclair na wenzake so tegemea safari nyingi sana za mkuu wa Kaya hapa in the future.
Tusubiri tuone itakuwaje!
All the best Prezidaa wetu, kula nchi mwaya kwani nani atakusema wakati Nyerere ameshakufaaa? Waryoba anazeeka, na Butiku kina RA na magazeti yake yatammaliza tu!