Kikwete anakuja USA tena - This December

Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Jul 5, 2007
5,185
56
Hayawi hayawi sasa yamekuwa,

Mzee Vasco da Gama AKA Jakaya Mrisho Kikwete anakuja kiwanja tena december hii. Kama hatabadili mawazo, wasaidizi wake wanasema kuwa anakuja kutangaza kitu ambacho tayari kinajulikana na ambacho angeweza kukitangaza kutokea Tanzania na kuokoa pesa kibao za watanzania masikini.

Ingawa kuna report kuwa JK atafanya mambo mengine mengi likiwemo la shoping, kukutana na rafiki yake - Sinclair, na mengine ya siri, Ninamtakia safari njema na mafanikio mema katika ajenda yake ya kuvumbua dunia kwa mara ya tena na tena.

Hata hivyo nina swali dogo, hizi gharama za safari za Kikwete na team yake zinaepukika? na kama haziepukiki, hizi safari ni za muhimu kiasi hicho? Je kuja kutangaza mkutano ambao tayari kila mtu anajua kuwa utafanyika Tanzania ni muhimu kuliko kujenga hospitali ya watoto kule ..... sijui nianze na wapi?
 
DU kama ni kweli hii sasa itakuwa kuna namna hivi. Anyway jinga halina haya ya nini kulizindua? sisi ni wajinga haina haja ya yeye kutufundisha njisi ya matumizi mazuri ya serikali zaidi ya kutumbua tu.
 
MwK, Mambo? Ninapata wasiwasi akija huko kuna ukarimu usio wa kawaida mnaomkirimia hebu tuambie hapa tujue moja LOL...si juzi juzi tu alikuwa huko?

safari hii maswali yale bado yapo ama ndo imetoka?
 
mengine ya siri??kama yepiiii hayoo watushtua kidoooogo!!!nadhani kuna deal anataka kumalizia kuuza nchi yetu..au anakuja msalimia mgonjwa mwenzie Balali???eh he he heee Tanzania yetuuuu
 
MwK, Mambo? Ninapata wasiwasi akija huko kuna ukarimu usio wa kawaida mnaomkirimia hebu tuambie hapa tujue moja LOL...si juzi juzi tu alikuwa huko?

safari hii maswali yale bado yapo ama ndo imetoka?

Maswali yangu bado ninayo ila nimepiga simu ubalozi wetu kuuliza kama kuna meeting na waTZ na kama kawaida yao hakuna anayejua ratiba ya Rais (kwa hili ninaelewa sababu za kiusalama).

So far, Tunafanya mpango kuwasiliana na kundi la muziki la BOYZ 2 MEN (wamegrow up big tyme) ili watunge wimbo ambao utakuwa na maswali yetu yote (huu ni utani - joke). Si unajua tena handsome boy lazima atumbuizwe na handsome boyz.

Kuhusu swali la Marekani kuwa na mapokezi mazuri kwa Kikwete, hapa kuna mzee Sinclair na wenzake so tegemea safari nyingi sana za mkuu wa Kaya hapa in the future.

Tusubiri tuone itakuwaje!

All the best Prezidaa wetu, kula nchi mwaya kwani nani atakusema wakati Nyerere ameshakufaaa? Waryoba anazeeka, na Butiku kina RA na magazeti yake yatammaliza tu!
 
..hivi Nkapa alikwenda USA mara ngapi wakati akiwa Raisi?

..kwanini hakuutangaza huo mkutano wa Sullivan alipokuwa huko mwezi September?

..wanaona hata aibu kutaja gharama za safari za Raisi. JK amesafiri mara nyingi, na amekuwa na entourage kubwa kuliko ile ya Sumaye aliyetumia millioni 500.
 
fweza anazo mzee huyu tumwache atanue.....
as anakapu la hela za wananchi wa tz wanaolipa kodi miaka nenda miaka rudi mwacheni achange hali ya hewa unajua hapendi harufu ya rushwa alishasema sasa tz yoote yanuka rushwa thats y yambidi ale vipupwe
mwanmke.....ha h ha ha nyerere ashakufa,waryoba anazeeka so no one wa kumsema...he hhe hee hee
 
Maswali yangu bado ninayo ila nimepiga simu ubalozi wetu kuuliza kama kuna meeting na waTZ na kama kawaida yao hakuna anayejua ratiba ya Rais (kwa hili ninaelewa sababu za kiusalama).

So far, Tunafanya mpango kuwasiliana na kundi la muziki la BOYZ 2 MEN (wamegrow up big tyme) ili watunge wimbo ambao utakuwa na maswali yetu yote (huu ni utani - joke). Si unajua tena handsome boy lazima atumbuizwe na handsome boyz.

Kuhusu swali la Marekani kuwa na mapokezi mazuri kwa Kikwete, hapa kuna mzee Sinclair na wenzake so tegemea safari nyingi sana za mkuu wa Kaya hapa in the future.

Tusubiri tuone itakuwaje!

All the best Prezidaa wetu, kula nchi mwaya kwani nani atakusema wakati Nyerere ameshakufaaa? Waryoba anazeeka, na Butiku kina RA na magazeti yake yatammaliza tu!

Masikini serengeti 'yetu'! Masikini madini yetu! hivituna muda gani kabla hatujaambiwatutafute pa kwennda?
 
Acheni wivu...safari ijayo na nyii kagombeeni uraisi...mkishinda mtatanua kama yeye anavyotanua sasa...kila kitu kwa zamu
 
Mwafrika wa Kike..Je una habari kama atakuja Minnesota?

Sina hakika kama ataenda huko Minnesota maana hakuna ajuaye ratiba ya Rais (ni vizuri kufanya siri).

So far, tunafanya kampeni ili Kikwete aende Detroit au Chicago ili ahojiwe na Mwanakijiji kupitia KLH news au Bongoradio.

I have my fingers crossed, Kikwete inabidi arushwe live and direct from Bongoradio na baadae awe kwenye podcast ya KLH.

Mazee GQ upoooo?
 
Sitashangaa kuwa hii itakuwa ni Official State Visit... na hilo la Sullivan ni sehemu tu ya pembeni. Hapa ndipo atakapoenda White House na Guard of Honor will be mounted.. I intend to be not very far from the red carpet
 
That's right,

Inabidi kugombea urais tu ili kupata zamu kama hizi!

Sio kupata zamu tu...kama wengine ambao hampendi yeye kusafiri ndio itakuwa wakati wenu wa kujenga hoja ya kwa nini asichaguliwe tena na badala yake uchaguliwe wewe. Mkishindwa mnasubiri uchaguzi unaofuatia.
 
Sitashangaa kuwa hii itakuwa ni Official State Visit... na hilo la Sullivan ni sehemu tu ya pembeni. Hapa ndipo atakapoenda White House na Guard of Honor will be mounted.. I intend to be not very far from the red carpet

Karibu na red carpet ukitafuta nini...sifa/ ujiko/ attention....?
 
none of the above... would like to extend a mic kwake na kuuliza lile swali moja ambalo wengi wangependa aulizwe...
 
Wenzako hawaulizi pembeni ya red carpet....kwani hatakuwa na joint press conference...?
 
Mwacheni ale kuku jamani urais wa Tanzania una kikomo sio kama Zimbabwe. Kwa safari za nje hamuwezi kumbadilisha kwa sababu ambazo hazizuiliki.
 
ndio maana nimewaambia wakagombee na wao wanaweza kushinda...na kama hawapendi kusafiri watakaa nyumbani...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom