Nimesoma ripoti zote mbili, huyu hayumo 'hakutajwa popote', mwacheni mzee apumzike, hahaa, Ngosha the swaga Don!Mwigulu si amezuia watuhumiwa kutoka nje ya nchi
Pamoja na unayoyasema pia nafikiri ana hobby ya kusafiriPamoja na yoote, huyu mzee ana utu na ubinadamu