Kikwete amenitukana....

Na wewe mrudishie hivyo hivyo, si unakumbuka hata Mzeee Makamba anasema alitukanwa na kijana mmoja akiwa kwenye mkutano na askari wakataka wamkamate yule kijana ili wamshikikishe adabu, Mzee Makamba akawaambia wamuachie tu maana ameshamtukana na yeye pia, (yaani Makamba alimrudishia lile tusi) Mfano, Mjinga wewe (sijui kama mjina ni tusi ni mfano tu) kwahio na wewe unasema mjinga mwenyewe....hahahaaa hebu apply haka ka-formula toka kwa Mzee Makamba maana ukubwa dawa bhana si unaona hata Rahisi alitumia wazee
 
Hyo ni bei ya Ikulu hajui lolote akalale huko mpuuzi tu! na wapenda CCM wote ndo wale wale Makupe nyie
 
hii yote ni kwasababu watanzania tunauoga wa maisha!! inawzekana hata kura haukupiga na ndio maana unalalamika



chaoooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!😛eace:
 

Hata kama unamuona mjinga, nakuhakikishia hajawa mjinga kiasi cha kushindwa kutambua ni kundi gani la watu linavutiwa na utumbo. Kwenda kuwakusanya wale wacheza bao ni njia ya kuongea bila kuulizwa maswali. Marais wenye kuweza kuzikabili challenges za nchi zao, huwakusanya wanazuoni na kuhutubia. Ningempa heshima kama angeenda kuongelea hizo £,$ na € pale UDSM, lkn badala yake yeye akaona wale wazee ndio audience ya maana kwa hotuba yake. (Ni sawa na kuwasomea mbuzi Biblia) .

Niwakumbushe kuwa ni wazee hawa hawa ndio waliokuwa wakimshangilia siku aliyosema (mipasho) "akili za kuambiwa, changanya na zako" lkn mwisho wa mchezo mbayuwayu alifahamika kwani dhahiri alipewa taarifa za uongo na Prof. Kapuya kuwa alikutana na Mgaya na timu yake wakati, si kweli. Sasa kwa namna hii ya president, unafikiri apate wapi ujasiri wa kuongea na wanafunzi 'watukutu' wa vyuo vikuu ambao kwao majibu mepesi mepesi ni dhambi?!

Ndege wa aina moja huruka pamoja, wale wazee ndio hasa wanafanania na hotuba yake, sisi vijana tuna- 'read btn the lines'
 

Audio nnayo pia. Huna hoja.
 
Hawa wanawaza ubwabwa tu hakuna kingine, hata hawajui JK alikuwa anaongea porojo gani. unafanya mchezo na posho ya buku 5?



teh teh teh anajua kula na vipofu kweli.....:spy:
:spy:
 
:lol: hivi hawa wababu na wabibi anawapaga wali
buku 5 kanzu khanga mabaibui
na huwa anafanyaga P.A? au mwaliko anapataje?
na vijana akiwaita anajua kabisa hawaji
kwahiyo anaona
apoteze muda kuwahangaisha wababu na wabibi wa watu kusikiliza
upp wake
angewaita wale waJUMUIA YA E.A WANAOIDAI SEREKALI waomvulie nguo ndo atie akili

teh teh teh anajua kula na vipofu kweli.....:spy:
:spy:
 
Anakalilishwa jinsi ya kuongea hajui kitu.

Wala huwa haongei kichomi, anasoma, na bahati mbya huwa anasoma kila kilichoandikwa na wale wanamwambia mambo anayopenda kusikia badala ya ku-report hali halisi,
 
Na akasema kuwa atasaini Muswada wa Katiba hata kukiwa na maandamano...
 
kwanini hakutani na vijana hata siku moja?anachagua watu ambao hata kusikia hawawezi,mpaka wajipange kuuliza swali mada inakuwa imeshabadilishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…