Jakaya kaiacha Bagamoyo ni bora kuliko Nyerere alivyoiacha ButiamaHivi huoni aibu? Worse Pres ever in Tanzania history! Utadhani tuliendeshwa bila Rais miaka yote 10! Hamna kitu ni aibu sana
Jakaya kaiacha Bagamoyo ni bora kuliko Nyerere alivyoiacha ButiamaHivi huoni aibu? Worse Pres ever in Tanzania history! Utadhani tuliendeshwa bila Rais miaka yote 10! Hamna kitu ni aibu sana
Fact nimekaa Bagamoyo na nipo Bagamoyo ni pazir butiana njaaJakaya kaiacha Bagamoyo ni bora kuliko Nyerere alivyoiacha Butiama
Hawa watu wa pwani wanapenda sana ubwabwa wa bure , acha wadanganywe tu .Siku ile aliporudi Msoga akatoa speech kusema kuwa yuko tayari kuwatumia wana Msoga na watu wa Pwani.
Cha ajabu ni kuwa toka awe rais miaka 10 kaenda RUFIJI mara 3, Mafia mara 2, Kisarawe mara 2, lakini New York mara 70.
Hivi kulikuwa na haja gani kuwaambia watu utawasikiliza na utawahudumia halafu unashinda 5th Avenue?
Mikoa ya pwani haina barabara, wala Umeme wa maana lakini tusubiri inawezekana huyu Mkrisitu atawakumbuka maana anataka kujengwe viwanda vya samaki na kadhalika
Habu mie nikasimame Kiyaam