Kikwete alivyoongopea watu wa Pwani

HNIC

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
1,898
2,195
Siku ile aliporudi Msoga akatoa speech kusema kuwa yuko tayari kuwatumia wana Msoga na watu wa Pwani.

Cha ajabu ni kuwa toka awe rais miaka 10 kaenda RUFIJI mara 3, Mafia mara 2, Kisarawe mara 2, lakini New York mara 70.

Hivi kulikuwa na haja gani kuwaambia watu utawasikiliza na utawahudumia halafu unashinda 5th Avenue?

Mikoa ya pwani haina barabara, wala Umeme wa maana lakini tusubiri inawezekana huyu Mkrisitu atawakumbuka maana anataka kujengwe viwanda vya samaki na kadhalika

Habu mie nikasimame Kiyaam
 
HNIC

Ulisilimishwa lini?

"Mgala" wako amevaa yale mavazi ya "kiichilamu" ya waswahili wa pwani.

zaidi, michuzi blog.
 
Last edited by a moderator:
Andiko lako linaonyesha fikra za kibinafsi na mlengo wa kidini.

Rais Kikwete kama angetaka kufanya jambo lolote la maendeleo kama ujenzi wa barabara na umeme kwenye sehemu aliyozaliwa asingeshindwa. Nadhani aliamua kutokuwa mbinafsi na kwa maana hiyo, maisha ya wananchi wengi wa maeneo aliyozaliwa yanaakisi maisha ya Watanzania wengi.

Hata Mwl. Nyerere alipong'atuka, Butiama ilikuwa haina huduma bora za kijamii achilia mbali Musoma pamoja na kwamba alikuwa Rais Mkrisitu.

Inashangaza sana kusoma thread za aina hii katika karne ya 21!
 
Siku ile aliporudi Msoga akatoa speech kusema kuwa yuko tayari kuwatumia wana Msoga na watu wa Pwani.

Cha ajabu ni kuwa toka awe rais miaka 10 kaenda RUFIJI mara 3, Mafia mara 2, Kisarawe mara 2, lakini New York mara 70.

Hivi kulikuwa na haja gani kuwaambia watu utawasikiliza na utawahudumia halafu unashinda 5th Avenue?

Mikoa ya pwani haina barabara, wala Umeme wa maana lakini tusubiri inawezekana huyu Mkrisitu atawakumbuka maana anataka kujengwe viwanda vya samaki na kadhalika

Habu mie nikasimame Kiyaam

Uchaguzi umeisha
 
Thread hii ingekuwa hotuba ningeondoka ukumbini/uwanjani kabla hujaanza sentensi ya pili.
 
Siku ile aliporudi Msoga akatoa speech kusema kuwa yuko tayari kuwatumia wana Msoga na watu wa Pwani.

Cha ajabu ni kuwa toka awe rais miaka 10 kaenda RUFIJI mara 3, Mafia mara 2, Kisarawe mara 2, lakini New York mara 70.

Hivi kulikuwa na haja gani kuwaambia watu utawasikiliza na utawahudumia halafu unashinda 5th Avenue?

Mikoa ya pwani haina barabara, wala Umeme wa maana lakini tusubiri inawezekana huyu Mkrisitu atawakumbuka maana anataka kujengwe viwanda vya samaki na kadhalika

Habu mie nikasimame Kiyaam

Wala hajatuongopea JK kafanya makubwa sana si kwa pwani peke yake bali kwa Tanzania nzima
 
Bado mnae tu,, kweli imewauma kwa dubwana kukatwa,, ndio hivyo tena Rais ni JPM na anasema hapa kazi tu,, no upigaji!!
 
Team Lowassa mna hasira ya kukatwa.ndio imeshakuwa hata mkirudisha hasira lowassa hawi rais
 
Back
Top Bottom