Kikwete alivyoongopea watu wa Pwani

Kikwete alivyoongopea watu wa Pwani

Andiko lako linaonyesha fikra za kibinafsi na mlengo wa kidini.

Rais Kikwete kama angetaka kufanya jambo lolote la maendeleo kama ujenzi wa barabara na umeme kwenye sehemu aliyozaliwa asingeshindwa. Nadhani aliamua kutokuwa mbinafsi na kwa maana hiyo, maisha ya wananchi wengi wa maeneo aliyozaliwa yanaakisi maisha ya Watanzania wengi.

Hata Mwl. Nyerere alipong'atuka, Butiama ilikuwa haina huduma bora za kijamii achilia mbali Musoma pamoja na kwamba alikuwa Rais Mkrisitu.

Inashangaza sana kusoma thread za aina hii katika karne ya 21!

ok thread hii sasa yaonesha udini hapa ila mmesahau kijana aliyesimama na kusema rais hatatoka kaskazin na bado wenye mamlaka wakakaa kimya kumbken haya mnavyoandka pia
 
Andiko lako linaonyesha fikra za kibinafsi na mlengo wa kidini.

Rais Kikwete kama angetaka kufanya jambo lolote la maendeleo kama ujenzi wa barabara na umeme kwenye sehemu aliyozaliwa asingeshindwa. Nadhani aliamua kutokuwa mbinafsi na kwa maana hiyo, maisha ya wananchi wengi wa maeneo aliyozaliwa yanaakisi maisha ya Watanzania wengi.

Hata Mwl. Nyerere alipong'atuka, Butiama ilikuwa haina huduma bora za kijamii achilia mbali Musoma pamoja na kwamba alikuwa Rais Mkrisitu.

Inashangaza sana kusoma thread za aina hii katika karne ya 21!

nyerere hakujimilikisha mimali kama baba riz.amejimilikisha mimali huku wenzie wana hali mbaya acha kuaribu jina la nyerere
 
Barabara ya Msata Bagamoyo, kiwango cha lami ya kindergarten yenye makorombwezo yote.
Kibaha Maili Moja - Mkoani, barabara njema....
Acha chuki!
 
Uchaguzi wa mwaka huu ulikuwa wa santakalawe kwelikweli mtu anaingia na majina anayotaka yeye halafu ili iweje. Mwisho figisufigisuufukunyungu ndo hapa
 
hii thread imeweka mipaka ya ukanda, ukabila 'wa pwani' ndio kigezo.
kumbuka jk alikuwa rais wa nchi.
 
We kweli kuchakuro hujui kusoma hata ukionapicha huelewi kasema uongo gani kashindwa wasaidia ndugu zake wapwani ataweza Tanzania nzima alikuwa anapiga dili hujamsikia nape kila mtu alikuwa mwizi
 
nakumbusha tuliko toka
 
Hizi zote ni hasira za kukatwa Lowassa.

Teh teh teh!!!
Hivi huoni aibu? Worse Pres ever in Tanzania history! Utadhani tuliendeshwa bila Rais miaka yote 10! Hamna kitu ni aibu sana
 
Back
Top Bottom