<br />Kweli kabisa, si mlimpa kura wenyewe? Mimi sikumpa.
Kikwete amefanya kazi bora kwa kuimarisha amani nchini Tanzania kwa miaka hiyo yote.
2005----kilo moja ya maharage tsh. 500-600, leo ni tsh. 1300-1500!!
2005----kilo moja ya mchele tsh. 600-800, leo ni tsh. 1200-1600!!
Kikwete amefanya kazi bora kwa kuimarisha amani nchini Tanzania kwa miaka hiyo yote.
Mkuu kwenye exchange rate umedanganya kwa uthibitisho ingia kwenye website ya bot wanazorecords za 2005 duh! Usitumie uongo mkuu kuelezea dukuduku lako ni Kweli mambo sio mazuri bt jaribu kutumia ukweli 'you cant bring a solution without understanding a real problem' mkuu inaonyesha uelewa wako baado kabisa
sikumchagua so hainiumi.Tunapoelekea 2015; ni vema kutathmini na kuweka kumbukumbu sawa kwa Rais wetu Kikwete tangu alipoingia madarakani 2005 hadi sasa anapoelekea mwisho. Tujikite kwenye Uchumi, Miundombinu/ Ujenzi, na siasa.
Thamani ya shingi:
2005, Usd 1=Tsh 600, leo usd 1 ni sh. 1,600/-.
Bei za bidhaa
2005; Sukari kg. 600/-, leo ni shs 2,000/-
Mkate gm 250, shs. 300/-, leo ni shs 1,000/- . Wenye takwimu endeleeni kutupa data.