KIKWETE akwea pipa kimyakimya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KIKWETE akwea pipa kimyakimya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by African American, Apr 16, 2012.

 1. African American

  African American Senior Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna taarifa kwamba Kikwete amesafiri tena na safari hii ameamua kwenda kimya kimya kuhudhuria mkutano huko Brazili, naomba wenye taarifa zaidi na hii safari ina tija gani kwa taifa?
   
 2. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Ulitaka akae tu Ikulu kuchekacheka na Mama yetu Salma wakati sisi watoto njaa kali? Baba kama utafika Rio tusaidie kumuuliza mfalme wa soka Pele kama alikuwa serious aliposema Neyma ni mkali kuliko Messi...
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ingekuwa kimya kimya, wewe ungejuaje?

  Imetangazwa kwenye TBC leo. Na hajaenda kwenye mkutano mmoja pekee, kaenda kuonana pia na wawekezaji wanaotaka kuweka mitambo ya kufua umeme wa 2000MW Steigler Gorge na 400MW zingine kwenye mto Rufiji.

  Hongera Kikwete. Nna uhakika kabla hujamaliza muda wako utaiwekea Tanzania umeme wa miaka 50 ijayo. Kitu kilichowashinda ma Rais wote waliokutangulia, hii ni historia nyingine kwa Kikwete.
   
 4. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
   
 5. l

  london JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 12, 2010
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu JK si ndiye alikanusha majuzi tu pale gazeti la Mwananchi lilipoandika kwamba JK aahirisha safari ya nje ya nchi kwa sababu ya msiba wa Kanumba, Ikulu ikasema alikuwa na safari za ndani ya nchi tu. Toba hata jua halijazama kisharuka kimanga!!
   
Loading...