Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,480
- 30,152
inabidi tuwe makini sana na hii gesi,naona dalili si nzuri kabisa.
Nakubaliana nawe kabisa, na ndiyo maana taarifa ya benki kuu ya Uswisi, walisema zile shilingi bilioni 315, zilizofichwa kwenye mabenki ya huko, na vigogo wa nchini kwetu, ni pesa zilizowekwa na makampuni yanayotafuta gesi na mafuta hapa nchini!!