Viongozi wa ulaya wanapo kuja hapa kwetu alafu sisi tunawapa vibyago wakati wao wameleta mabilioni ya hela za msaada hapa inakuwaje?
Vinyago vibyago tu vya Masai kashika mkuki n.k.
Hii ni aje!
Jezi hio ni symbolic tu, acheni chuki za kifala hizo.
Dah,huyu jamaa ni janga la kitaifa wallah...yaani anapewa pampasi anakenua menooooo.
"Mtu ana chupa na wewe una almasi anakupa chupa unampa almasi halafu unakenua meno kama zuzu" Nyerere aliona mbali sana...
Lazima tujiulize namba 12 ina maana gani.....namba 12 is often used as sales unit in trade and is often refered as dozen.... changanua mwenyewe....