engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,150
- 1,437
Ameonyesha kuwa yeye ni baba mzuri..ngoja awasikilize wanawe na kuwapa ushauri na kuwafunza siasa za TZ!
vp budget ya Posho yenu, kuna posho review imepita, kama bado komaeni na Nape kaz mnayofanya ni nzuri... Bt kuweni 2ta iyundia 2me mkifanya mchezo... Nyinyi jisauni 2...
mh! You are a way too political my sister!Huyo ndio Rais wa wote, wanaomkubali na wasio mkubali, Namna hiyo Kikwete, umewakata Ngebe kama kwenye katiba, walitaka ukatae wapate kufanya maandamano.
Sasa wewe umekubali wao ndio watataka wakupangie muda watafute sababu ukatae. Ngoja tuone.
bunge ni mkono mmoja na utawala ni mkono mwinginewanasiasa bwana wanavijimambo hayo mawazo si wangeyatoa bungeni? kuliko kususia na kuja dar kumtafuta JK
Bonge la pre-emption. Walitaka kupata cha kuongelea. Hata hivyo kukutana ni kitu kimoja na kuwakubalia hoja zao quite another.
Naona kasoma nyakati na ishara hasa kwa kuyaona yanayotokea Misri kwa sasa na huku jukwaa la katiba nalo nikijipanga kwa maandamano ya nchi nzima!
wanasiasa bwana wanavijimambo hayo mawazo si wangeyatoa bungeni? kuliko kususia na kuja dar kumtafuta JK