kikwete akiri!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kikwete akiri!!!!!!!!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by jogi, Oct 29, 2010.

 1. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  kupitia power breakfast ya 88.4 live kikwete amekiri kuwa hana kumbukumbu sahihi ya ahadi za papo kwa papo azitoazo kwenye kampeni, anasema wazinakili kisha wampelekee.:peep:
   
 2. c

  chanai JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hayaaaaaaaaa mambo hayoooooooooooo.
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mie ya mkoa wetu nampelekea mapema iwe ya kwanza kutekelezwa
   
 4. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  kaongeza kuwa "rites" wametutia ndimu, tumeachana nao. hajaelezea wazalendo waliomuonya kuwa rites ni bomu:bowl:
   
 5. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  hatakuwepo madarakani ndugu yangu!!!!!!!!!!
   
 6. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Tena kakiri wengine wanamchomekea. Mwananchi wa kawaida haelewi anachozungumza
   
 7. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  anaongelea ugunduzi wa gesi baharini ili tusahau dhahabu yetu.
   
 8. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Amekwisha. Bye bye Kikwete
   
 9. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  anajaribu kuleta fikra mpya ya ujenzi mpya wa bandari itakayotumiwa na uganda.
  kiuchumi naamini hilo ni kosa ku-invest kwa kutegemea mteja mmoja,
  kenya wakimpa bei ndogo ya kutumia bandari ya mombasa maana yake investment yako inakuwa sawa na sumu.
   
 10. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2010
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Dah! hii nayo kali mno ...
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Sasa mnategemea ataongelea dhahabu wakati akina RA wamemwelekeza maswali ya kujibu?
   
 12. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Haya mapete mpaka watoto wamevishwa....mimi nilitaka kumuuliza kuhusu ongezeko la ahay mapete...simu ya Clouds haipatikani
   
 13. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hahahahahaha,atasema wamemwongezea!
   
 14. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,419
  Likes Received: 3,754
  Trophy Points: 280
  Kumbe kumchomekea hawakuanza bungeni......toka ahadi zake
   
 15. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,711
  Trophy Points: 280
  Kumbe JK anapiga ramli tu na maisha yetu....................................
   
 16. Paddy

  Paddy JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 273
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Jamani naomba mnielimishe haya mapete huwa yana maana gani? Uchawi? Freemasons? Nimeyaona kwa utoh, mkapa, ndamalya itv, adam malima naibu waziri, wabunge kadhaa, etc. Wanatoa wapi? Au kwa shehe yahya? Nyerere alikua nayo?
   
 17. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Nguvu za ziada zaidi ya kumwamini Mungu, na Biblia inasema OLE WAO WAMTEGEMEAO MWANADAMU!
   
 18. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #18
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  ni kielelezo cha rais mleta mizaha, narudia Rais Mleta mizaha.
   
 19. Mgeninani

  Mgeninani Senior Member

  #19
  Oct 29, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanadai yanawaongezea "Ngekewa"!halafu wanasali, Tunaamini kwa mungu mmoja anaitwa MUNGU,ALLAH, GOD, JAH, NA USIMUAMINI MWINGINE ILA YEYE, huu moto utachoma wengi!
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hii kali kweli na kubwa kuliko ila sishangaiii
   
Loading...