engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,150
- 1,437
Kweli mpaka sasa sijui hatma ya nchi yetu inaelekea wapi maana kila mtu anaongelea Dowans hakuna mtu anaongea ukweli kuhusu hilo.
bibi yangu huku analalamika juu ya hii dowans........ na kikwete nae analamika kama rais na wala hatoi solution ya tatizo hana tofauti na wale majuha niwajuao.....kama anatambua richimond ni kampuni hewa na hawa dowans wamerith toka richmond kwa nini asisema tu kwa dowans hawalipwi maana ni kampuni hewa na haijulikani.............huyu amejipalia makaa mwenyewe
hapo ndo simuelewi huyu rais wetu.Maneno ya kubalisha badilisha haya yanayoa hisia mbaya sana. Kama Dowans haijulikani mbona inalipwa fasta fasta???
Acha matusi, matusi hayajengi. Weka hoja
kama amekiri wazi kuwa richmond/dowans kampuni hewa, sasa basi rostam aziz, mbunge wake aliyehusika kuisimamia kampuni hii feki kuchukua tenda, anamfanyaje???????????? Atueleze bayana hapo.
Niongee nini sasa hili ni karai tu,ujenzi ukiisha litatupwa!
anakiri kuitambua dowans kwa kuwa tumetumia umeme wao kwa miezi tisa?!!!!!!!!!!!! Hivi huyu ana akili kweli
ndugu zangu huyu anatuchezea ......dowans watalipwa.......hawezi kusema malipo ya dowans yanategemea yako mikononi mwa wanasheria.....huyu jamaa ni mpuuzi sana na anatuchzea akili...........haezi kuongea kama yuko kijiweni
Njia aliyoitumia siyo sahihi, kama angeongelea katika taarifa yake ya mwisho wa mwezi kidogo ingenoga shida ingeanza ameongea nini je kina mantiki?hapo kweli umenena mara nyingi nikimsikia huyu mkwere akiongea huwa kama anaongea kama vile yupo kwenye kijiwe cha kahawa hivi, ana misemo mingi ya taarabu isiyosaidia kitu...... Yaani niliboreka kumsikiliza toka kitambo.
rais kuongea maneno ya namna hii ni mpumbafu na ujinga wa hali ya juu...asifanye watu watoto hapa na majibu yake ya hovyohovyo...kwanza nani kamuuliza mpaka anaanza kufafanua ...stupid
kama kikwete anawashauri basi ni heri awafukuze ili aweze kutoa mawazo yake mwenyewe. Kama raisi wa nchi anaweza kutoa majibu kama haya ni heri angekaa kimya.
Raisi anatamka richmond ni kampuni hewa, kama ni hivyo dowans ilirithi mkataba kutoka wapi? Hivi dowans hawakuja na documents zozote walipo kuja kuzalisha umeme? Na kama walikuja na documents walizipata wapi na zionyesha hao richmond ni nani? Kwanini dowans wasiambiwe wakatuletee hao richmond walio warithisha mkataba kabla ya kuwalipa?.
Raisi anasema tanesco watalipa na siyo serikali, hivi tanesco si inamilikiwa 100% na serikali? Hivi tanesco si wanapata mapato yake kutoka kwa raia? Tanesco ikifa leo hii itayeteseka si raia? Au amesema hivyo akimaanisha wao viongozi wa serikali hawata athirika?
Sijawahi kuona raisi mbumbumbu kama huyu.