mkapa hafai ndiye aliyeuza kwa fujo mali zetu!kurudi madarakani kwa rais hakuna shida mbona putin wa russia anarudi madarakani ili mradi uwe mtendaji mzuri.fikiria rwanda wangempa kagame miaka 10 huenda wasingekua na maendeleo kama waliyoyafikia sasa
1.JE INAWEZEKANAJE RAISI ASTAAFU HALAFU ARUDI MADARAKANI TENA?
2.KWA MIAKA NENDA RUDI,NIMEKUWA NIKIONA KUWA RAISI NDIYE MWENYEKETI WA CHAMA,,VIPI MIPANGO HII YA KUMPENDEKEZA MKAPA NA SALM AHMED SALIM? INAWEZEKANA?
ni mazoea tu kuwa rais ndo awe mwenyekiti wa chama, lakini haiko kwenye katiba yao. Wanaweza kumpa mwingine na ndipo raisi atasaidiwa kazi kwani atalazimika kutekeleza matakwa/ilani ya chama chake. Kwa sasa yeye ni kila kitu.
Kama ana hofu, ni ishira ya uchu wa madaraka.
JK sio chama, yeye ataondoka lakini chama kitabaki. Atakuja mwingine na atapita kiulaini tu. Mimi nashauri na CDM wafate hivyo maana naona CDM ni watu sio chama. Leo Mbowe au Slaa akitoka basi CDM miguu juu.jk aendeleza udhaifu wake na makundi ktk chama na hatimaye wasambaratike, wapinzani waendelee kujiimarisha kwa ajili ya kuchua dola.