Kikwete ahofia kung'olewa CCM kwa madai ya kushindwa kukiendesha chama

Robert kivuyo

Member
Sep 12, 2011
64
0
Jk ma' president u had a very gud vision na chama... Bt da pbm is on approach ur usin... I knw u ve a true willin ya kueliminate viwavi wote wanaotafuna chama na nchi bt ur main weaknes is ur weak wen it comes 2 mek a decision... Don wory ma' presidnt chinjia baharini viwavi wote... And am assured u wil b remembrd as a only president who transform DIRTY CCM 2 CLEAN CCM... Go JK...

bila shaka kwenu ni msasani au ostabay
 

Robert kivuyo

Member
Sep 12, 2011
64
0
Jk ma' president u had a very gud vision na chama... Bt da pbm is on approach ur usin... I knw u ve a true willin ya kueliminate viwavi wote wanaotafuna chama na nchi bt ur main weaknes is ur weak wen it comes 2 mek a decision... Don wory ma' presidnt chinjia baharini viwavi wote... And am assured u wil b remembrd as a only president who transform DIRTY CCM 2 CLEAN CCM... Go JK...

bila shaka kwenu ni msasani au ostabay
 

Straight

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
346
0
Kaka mi npo ubungo wangu... Opp. Mabibo hostel hardship ile ile... Cyo kwamba naipenda CCM...
 

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
23,175
2,000
aisee ivi humu JF kuna watu au viatu.! Mnathubutu vp kumtaja.. *KAPA ... Fisadi NYANGUMI! Kweli CCM mmeishiwa.
 

Simcaesor

Senior Member
Jul 15, 2011
112
0
kuwepo na migawanyiko katika chama haina mana kushindwa kukiongoza chama bali kuwepo kwa dalili za wanachama kukua zaidi kisiasa
 

Power G

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
3,894
1,225
kama ni kweli aliuza mali zetu kwa fujo,iwaje ccm wanataka kumpa ngazi ya juu kiasi hicho?
Kwani hujui kwamba sifa moja ya kupata nafasi ya uongozi wa juu katika ccm lazima uwe mwizi au fisadi? Huyu anafaa sana kulingana na sera za chama chetu.
 

nzitunga

Senior Member
Oct 31, 2010
193
0
Kulikuwa na mkutano wa panya, na wao waliona tatizo kubwa kwao ni Paka, ndiye anawenyima raha. Wakaamua kumfunga kengere ili kila anapopita wasikie na kujihami kabla hajafika. Kila panya aliyetumwa kumfunga paka kengee aliogopa. Mkutano ukavunjika kwa sababu swali la msingi lilishindwa kujibiwa: NANI AMFUNGE PAKA KENGERE?

Ndivyo itakavyokuwa kwa wote wanaotaka kumng'oa JK, wataishia kwenye magazeti tu. Wakina Butiku na warioba kipindi fulani walionekana wakita mabadiliko ya kweli ndani CCM na Taifa kwa ujumla kwa kutaka kumsimamisha Dk Salim kugombea urais kwa ticket ya CCM 2010 lakini wote waliishia kukanusha kwamba hawana mpango huo. Wote tunajua habari ya CCJ, jinsi ambavyo vigogo wa CCM walijitahidi kukiongoza kwa "remote control" lakini mwisho wa siku hakuna aliyejitokeza kukitetea CCJ pale kiliponyongwa na usalama wa taifa.
In short, hakuna wa kumfunga paka kengere
 

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,449
2,000
Why ccm? f the time speaks things hv to follow the same course,let ccm die so as another party can take the lead...we should neither wory nor regret to the death,everything has ts end whether good or bad and to each of these there is an end...and what we need to do is simple,get prepared to burry ccm as t dies..that's all.
 

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,537
1,250
CCM wampe M/Kiti Mzee Butiku ni mfuasi hakika wa Mwalimu.JK aachie baada ya 2015 kwa sasa aendelee kumlizia dhana ya kuvua Gamba akizubaa atavuliwa yeye, ushauri wetu wa bure wenye maana.
 

Omr

JF-Expert Member
Nov 18, 2008
1,160
0
Arudishwe mkapa ndio hawa magwanda wajue nini maana ya nguvu ya dola. Wamezoea Kikwete anae waendekeza kama mademu zake.
 

Straight

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
346
0
Arudishwe mkapa ndio hawa magwanda wajue nini maana ya nguvu ya dola. Wamezoea Kikwete anae waendekeza kama mademu zake.

sasa magwanda wana uhusiana vp na mambo yenu ya kushindwa kuongoza nchi na kuvuana magamba...
 

maswitule

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,393
1,500
Na amini mwisho wa ccm umefika, kama ilivyonenwa adui mbaya ni yule wa nyumbani mwako, kwa sasa hawa ndugu maadui ni wengi mpaka tunashindwa hata kujua mwenye nyumba ni yupi. Miaka hamsini (TANU + CCM) inawatosha ni vema wakasambaratika tukaanza zama mpya za bila CCM.
 

Godwine

JF-Expert Member
Jan 15, 2010
1,371
1,500
katiba yetu inekataza kuwa rais kwa zaidi ya vipindi viwili mfululizo lakini imekaa kimya kwa mtu kuwa rais kwa zaidi ya vipindi viwili tofauti tofauti

pia hakuna sheria inayozuia au kusema rais ni lazima awe mwenyekiti wa chama na ndio maana kama Dr. slaa angeshinda nafasi hiyo basi angeendelea kuwa katibu na si mwenyekiti wa chama hivyo hakuna uhusiano kati ya urais na mwenyekiti
 

Kicheruka

JF-Expert Member
Feb 2, 2009
792
225
Siyo ameshindwa kuongoza chama tu hata nchi ameshindwa kuongoza ndio maana tuna mgao wa umeme usiokwisha, mfumuko wa bei, kuuzwa ardhi na kuwapa wawekezaji ardhi ya bure na kuuza wanyama pori ajivue gamba la chama na uongozi wa serikali pia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom