Unauliza jibu?Is our country a failed state?
Kuna watu wachache sana ndani ya CCM leo ambao wanaweza kusimama na kunyooshea wenzao vidole kwa dhamira ya dhati ya kutaka kukinusuru chama hicho. Hayo makiundi yanayohasimiana ni wale wale tu ambao wanapigania vita matumbo yao
Mimi natamani waendelee kuraruana tu ili hatimae tutoke kwenye wilderness,hili jambo ni zuri sana kwa mustakabali wa taifa letu.
haya ni mambo ya kichama siyo serikali.kama katiba ya chama chao inaruhusu mwenyekiti mstaafu kurua kugombea uwenyekiti upya hamna tatizo
Arusha 2 Igunga 1 na idadi itazidi kuongezeka. Je hii mifarakano ya kijamii (dini) itatuacha salama?Ni kweli kabisa,na ni kama hakuna. Hawa wanaohangaika kubadili uongozi wa chama wengi wao siyo kwamba wanaipenda sana CCM,wanapigania matumbo yao. CCM ni kampuni inayowalisha na kuwalinda. Wanajua CCM ikifa hata yale yaliyofichika chini ya kapeti yatajulikana. Na wanajua baada ya hapo CCM haitakaa isimame tena. Wakati wa CCM kufa umeisha fika. Binafsi namsifu JK kwa uungwana wake,maana watawala kama Mkapa muda huu damu nyingi za wananchi wasio na hatia zingekua zimeisha mwagika barabarani. Someni KANU ilivyosambaratika,mtajua hata CCM iko ktk njia hiyo ya kusambaratika.
Mkapa hafai ndiye aliyeuza kwa fujo mali zetu!kurudi madarakani kwa rais hakuna shida mbona putin wa russia anarudi madarakani ili mradi uwe mtendaji mzuri.fikiria rwanda wangempa kagame miaka 10 huenda wasingekua na maendeleo kama waliyoyafikia sasa
Unajua JK anachokosea ni kitu kidogo, maamuzi dhaifu na huruma.
aisee ivi humu JF kuna watu au viatu.! Mnathubutu vp kumtaja.. *KAPA ... Fisadi NYANGUMI! Kweli CCM mmeishiwa.