Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
wewe ni mburura kwelikweli,maadili ya utumishi wa umma , mtumishi wa umma apokee siyo zaidi 50000 kama zawadi na haijalishi umepokea kutoka pesa za Umma au la?
Aliye Mburula ni wewe...sijaongelea Profesa Tibaijuka....hata katika Comment yangu sijamtaja.
Prof Tibaijuka ana makosa ya kimaadili.
Ishu ni kwa hao kina muhongo,Maswi,werema and so ambao makosa yao ni ya kimaamuzi.
Kwa sababu wamelipa mtu sahihi maana yake hawana kosa...why do we need to spend more money kuwachunguza?