Kikwete Afaulu Mtihani Uliomshinda Pilato!

Kikwete Afaulu Mtihani Uliomshinda Pilato!

Wabunge wamepitia kwenye msingi uliowekwa na CAG wewe, umefuatilia mjadala?
Acha kupotosha sote tumesoma ripoti ya CAG huwezi kutudanganya hata chembe danganya bawacha wenzako.
 
pole sanaa naona unatetea tumbo lako. usije kufa njaa!!!!!!!!!!!!
Ukweli hauwezi kubadilika kuwa jk ndiye mwanasiasa mwenye akili kuliko wanasiasa wote hapa nchini hutaki unaacha.
 
Acha kupotosha sote tumesoma ripoti ya CAG huwezi kutudanganya hata chembe danganya bawacha wenzako.

Wewe ambaye hujasema nimepotosha wapi ndiye umepotosha kunizidi mimi.

BAWACHA ndo kiwavi gani? Unanisoma kwa woga nini?
 
Sasa tukuamini wewe au kamati ya Bunge akiwemo Dr Kigwangala aliyesema hajawahi kuona Proph muongo kama Prof Muhongo. Kamati ilipitia ushahidi mbalimbali wewe umepitia nini? J.K kasema amemuweka kiporo anasubiri taarifa nyingine atoe uamuzi, Je mbona husemi J.K acha unafiki hakuna kosa kwa Muongo huna haja ya kutafuta taarifa?.Lakini ni ukweli upi aliousema J.K unamuondoa Muhongo kwenye sakata hili? Unatumia kichwa au hapo "chini" unapoangalia [/B] [/B]
Kamati ya bunge ni genge la wahuni tu ambao ni wala rushwa namba moja wanahongwa na mengi wanaimba wimbo wake.
 
Wewe ambaye hujasema nimepotosha wapi ndiye umepotosha kunizidi mimi.

BAWACHA ndo kiwavi gani? Unanisoma kwa woga nini?
Kote umepotosha kwani wewe hujitambui kuwa ni mpotoshaji?
 
Nimemsifu Mkulu kwa maamuzi magumu aliyoyachukua kuwakinga 'wanyonge' dhidi ya uonevu wa utashi wa kisiasa. Maamuzi ya Mkulu yamenikumbusha mtihani kama huo aliokabiliwa nao Pilato. Pilato alikuwa na mamlaka ya kumwacha huru Yesu Kristo na alikuwa na nafasi hiyo moja tu. Lakini kutokana na kelele za Wayahudi Pilato alilazimika kumwachia huru Baraba alikyekuwa mhalifu wa hali ya juu.
Pilato alitoa hukumu yake kwa kusikiliza kelele za watu. Kikwete ametoa haki kwa kuangalia hali halisi. Iwapo angesikiliza kelele za wabunge, wanasiasa na wanaharakati wengine leo hii kuna wanyonge wangeonewa kwa kuonekana kuwa wanyang'anyi. Iwapo kweli IPTL ilistahili kulipwa pesa zake, kwa nini isilipwe? Iwapo watu wako na sympath kwa wamachinga pale wanaponyang'anywa haki zao, ni vema pia kuwa na thympathy kwa watu wengine hata kama wametuzidi kipato na uwezo wa mali.

Mtu unapokuwa rais, inabidi kutoa maamuzi kulingana na haki, na sio kwa ushabiki wa kisiasa. Nampongeza JK kwa kufaulu mtihani huu mgumu uliomshinda Pilato...

wanyonge wapi hao?
labda wale wa lumumba ndio anaowatetea kwa wizi.
unakuja hapa na ID kibao unajicomment mwenyewe ili ionekane watu wengi wamecomment.
Ukoo wa panya nyie.
 
Kote umepotosha kwani wewe hujitambui kuwa ni mpotoshaji?

Those who lack the precison of specificity obfuscate by embracing vague banal generalities.

Nani mpotoshaji sasa?
 
Naunga mkono hoja na nakupongeza sana kwa kushirikisha vema akili yako
Lizabon mtu wa ajabu kweli.Huyo Kikwete wako ninge mwona wa maana na yuko makini na nchi anayo iongoza kama angesema hizo hela kwanini walipwe IPTL hata wakitelekeza mitambo?Angehoji kama mkuu wa nchi kuwa haiwezekani malipo hayo makubwa yawepo nje ya malipo ya kuuziana umeme.Ina onekana hayo malipo ni makubwa kuliko units wanazo uziana na ni makubwa kuliko hata mtaji walio invest.Wana nchi umeme tunachrgiwa bei juu kumbe tuna neemesha watu akiwamo yeye JK
 
Nimemsifu Mkulu kwa maamuzi magumu aliyoyachukua kuwakinga 'wanyonge' dhidi ya uonevu wa utashi wa kisiasa. Maamuzi ya Mkulu yamenikumbusha mtihani kama huo aliokabiliwa nao Pilato. Pilato alikuwa na mamlaka ya kumwacha huru Yesu Kristo na alikuwa na nafasi hiyo moja tu. Lakini kutokana na kelele za Wayahudi Pilato alilazimika kumwachia huru Baraba alikyekuwa mhalifu wa hali ya juu.
Pilato alitoa hukumu yake kwa kusikiliza kelele za watu. Kikwete ametoa haki kwa kuangalia hali halisi. Iwapo angesikiliza kelele za wabunge, wanasiasa na wanaharakati wengine leo hii kuna wanyonge wangeonewa kwa kuonekana kuwa wanyang'anyi. Iwapo kweli IPTL ilistahili kulipwa pesa zake, kwa nini isilipwe? Iwapo watu wako na sympath kwa wamachinga pale wanaponyang'anywa haki zao, ni vema pia kuwa na thympathy kwa watu wengine hata kama wametuzidi kipato na uwezo wa mali.

Mtu unapokuwa rais, inabidi kutoa maamuzi kulingana na haki, na sio kwa ushabiki wa kisiasa. Nampongeza JK kwa kufaulu mtihani huu mgumu uliomshinda Pilato...
Ni kweli kabisa unachosema. Katoa maamuzi sahii kabisa. Sasa tumuombe orodha ndefu ya waliolipwa kule STANBIC.
Tumesubiri sana orodha ya wauza Unga hola, tumesubiri ya wauza Meno ya Tembo hola, sasa ngoja tusubiri na orodha ya STANBIC.
 
Angemzungumzia mwanasheria wa tanesco,mbona kauchuna.huyu rais ni dhaifu tu,hana jipya zaidi ya kuongezea taifa umaskini.Bora uondoke na tukusahau rais wa mipasho
 
Inawezekana hata ulichoandika hukielewi! Pole.

Mkuu maandishi ni madogo sana hauoni tukutafutie miwani? Wenzako wanasoma documents na ushahidi wewe unategemea kuhadithiwa.
 
Pamoja na jitihada za wazi za Rais kuwalinda watuhumiwa, bado amekiri kwamba suala hili kuna utata. lakini kitu kikubwa ambacho unasahau ni kwamba suala hili ni la kisiasa. kuwajibika kunakozungumziwa ni kuwajibika kisiasa. si kwamba mtu anadhulumiwa haki zake. kinachoathirika hapo ni chama cha mapinduzi. hilo hata wale "wazee" waliokuwa wanamsikiliza jana wanalijua. taifa pia linapakwa matope. tunahitaji watu wanaotumikia uma wa watanzania, wawe ni watu wanaoaminika na kuaminiwa. sio watu wenye tuhuma nzito. ikitokea mtu ana tuhuma nzito, anapisha nafasi anateuliwa mwingine. huu sio ulaji, hiki ni cheo na cheo ni dhamana. na wale wanaojua wala haiwasumbui. hivi kwa nini inakuwa vigumu sana kuelewa somo hili? hamjajifunza tu pale Ali Hassan Mwinyi alipojiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani enzi zile ambapo serikali ilikuwa kweli ni SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA? maana hata yule Profesa Tibaijuka mpaka ameweza kuitisha press conference kipindi ambacho taifa liko katika hali tete, na Rais ndio anajiandaa kuhutubia taifa, yeye anajifaragua na kuongea vitu ambavyo vinaweza kumu-embarass hata mama ntilie, PROFESA MZIMA?? na bado tunasema tuna serikali makini? katika serikali makini, ingekuwa lazima Tibaijuka ajieleze kwa vyombo husika, kuwa anataka kuongea nini, na waridhike nacho. kwa hicho alichoongea, asilani asingeruhusiwa!

Huu uwajibikaji wa kisiasa unaigusa serikali tu ama hata viongozi wengine ws kisiasa nje ya serikali mf CDM,CUF NCCR nawengine?.tumeshudia Mbowe akituhumiwa kwa matumizi mbaya ya ruzuku,hatua gani zilichukuliwa na yeye? Maana kama swala mi tuhuma tu hivi kati ys mbowe ns Maswi nani amejaa tuhuma??
 
Uwajibikaji unatakiwa kuwagusa wote, na hicho ndio tunatakiwa tukijenge. itakuwa rahisi sana kwa viongozi wa vyama vya upinzani kuwajibika kama wale wa CCM watakuwa wepesi kuwajibika. ni jambo la ajabu sana kumsikia Prof. Tibaijuka anaongelea suala la kujiuzulu kwa kebehi: "imekuwa fasheni!". lakini macho na masikio yetu yanaelekezwa sana kwa viongozi wa serikali, ambao wana mamlaka makubwa sana, na dhamana yao ni kubwa zaidi, tofauti na wale wa upinzani. lakini kama nilivyosema, tunatakiwa kujenga jamii inayowajibika, popote mtu alipo. kwa hiyo haitakiwi tusubiri mpaka kiongozi wa chama cha upinzani aingie madarakani ndio tuanze kummulika. lakini usiwe na wasiwasi ndugu yangu. hata kama akiwa ni Mbowe, kama anatakiwa kuwajibika, atawajibika. asipofanya hivyo, hiyo hiyo PEOPLE'S POWER itamrudi, maana hiyo huwa inakula kote kote. haina mwenyewe. kwa hiyo usilinde watu wenye makosa, kisa wametoka ccm. simamia principles. hapo ndipo tutajenga taifa letu
 
Kuwadi katika ofisi ya UMMA unasema hana kosa weka kumbukumbu vizuri kwanini awe wakala katika deal hii kama sio ulaji,
 
Nimemsifu Mkulu kwa maamuzi magumu aliyoyachukua kuwakinga 'wanyonge' dhidi ya uonevu wa utashi wa kisiasa. Maamuzi ya Mkulu yamenikumbusha mtihani kama huo aliokabiliwa nao Pilato. Pilato alikuwa na mamlaka ya kumwacha huru Yesu Kristo na alikuwa na nafasi hiyo moja tu. Lakini kutokana na kelele za Wayahudi Pilato alilazimika kumwachia huru Baraba alikyekuwa mhalifu wa hali ya juu.
Pilato alitoa hukumu yake kwa kusikiliza kelele za watu. Kikwete ametoa haki kwa kuangalia hali halisi. Iwapo angesikiliza kelele za wabunge, wanasiasa na wanaharakati wengine leo hii kuna wanyonge wangeonewa kwa kuonekana kuwa wanyang'anyi. Iwapo kweli IPTL ilistahili kulipwa pesa zake, kwa nini isilipwe? Iwapo watu wako na sympath kwa wamachinga pale wanaponyang'anywa haki zao, ni vema pia kuwa na thympathy kwa watu wengine hata kama wametuzidi kipato na uwezo wa mali.

Mtu unapokuwa rais, inabidi kutoa maamuzi kulingana na haki, na sio kwa ushabiki wa kisiasa. Nampongeza JK kwa kufaulu mtihani huu mgumu uliomshinda Pilato...

Kwa hiyo wewe unaona sawa kwa Pilato kumhukumu kifo mtu ambaye hakuwa na hatia ma.kumfungua msaliti na mwenye fitina Baraba? Pilato dhambi yake imesimama hadi leo kwa kushindwa kutenda haki. Kwa mfano huu unataka kusema nini? Mimi sikukuelewa. Kwamba rais kama Pilato hakutenda haki?
 
wewe ni mburura kwelikweli,maadili ya utumishi wa umma , mtumishi wa umma apokee siyo zaidi 50000 kama zawadi na haijalishi umepokea kutoka pesa za Umma au la?

kama hoja yako ina maana kuna mahali muhongo au maswi wametajwa kupokea zawadi, kama hakuna kuna haja gani ya kuwachunguza? oneni aibu kuwatetea hawa wahalifu hata kama ni mawaziri, inchi inaangamia.
 
kwa hiyo anna pekee ndo alikosa kwenye hili??? anna si ni mwanamke iwapo Ruge ni bwana yake mlitaka aseme wazi hakuna tena haki ya privacy??

hatakama kahongwa na bwana yake ndo iwe bilioni. hiyo kitu itakuwa imenawishwa maji ya kikombe cha babu
 
Back
Top Bottom