Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
Haya wewe mwenzetu daktari... basi tuache ya kifafa..
Je;kwa mtu ambaye anazidiwa na kazi na kuchoka kiasi cha kuanguka, anguka kwenye public bado tutamwita mzima???? If your body can not tolerate 15km race will you be declared fit for the race?? if the answer is no, then dont you think huyu jamaa ni unfit for the race?
Je unakumbuka kuna watu wanaitwa spana mkononi??? yeye hafai kuwa spana mkononi??? na mtu spana mkononi si huwa na yeye tunamwita mgonjwa au???
Tuje kwenye fani hiyo ya udaktari, naomba ukatae au ukubali, do you think wale watanzania wawili wanamuangalia afya yake wanafanya vitu ethical?? mbona yanazunguka mengi tu, si bora wakae kimya kiliko kusema raisi yuko fit na tulipima hiki?? kwani kiapo cha udaktari kinasemaje??? kama anakaidi, si bora waachie ngazi with honours kuliko kuharibu fani, unataka tuletewe wachina sio kama ya ulinzi wa mugabe?
SWALI LA MWISHO, WEWE KAMA DAKTARI... RAIS WAKO NI MGONJWA AU HAPANA??
alishasemaga alipoanguka mwanza kuwa rais hana ukimwi na hana tatizo la akili yuko safi...hatakuja na jipya...we jitu zima la umri ule eti limeishiwa glucose ...this is a serious joke
Usicheze na Kalembwana aisee! Mkulu amemnunulia nyumba mjini Dar na amempa usafir wa nguvu! Safari zote za mkulu Kalembwana yumo kwenye msafala. Jamaa anaingia ikulu bila appointment
Kuna tetesi kuwa hata Zuma aliunganishwa kwa mganga wa Muungwana, Je ni kweli? Kama anacheza mchezo huu ina maana kila anapofika mahali ambapo kuna nguvu zaidi ya ile inayomshikilia lazima atalamba vumbi maana network inapotea. Kama ni kweli anatafuta supernatural powers si atafute basi ile HALISI?Usicheze na Kalembwana aisee! Mkulu amemnunulia nyumba mjini Dar na amempa usafir wa nguvu! Safari zote za mkulu Kalembwana yumo kwenye msafala. Jamaa anaingia ikulu bila appointment
Mchungaji ..unafika mbali sana, kuhusu afya ya mtu ni siri ya mtu mwenyewe, and its unethical kuelezea mambo afya inalomsibu mtu mwingine.. mimi ni mtaalamu wa afya lakini hapo umefika mbali sana... nafikiri watu kama nyie katika kuropokaropoa kwa mambo msiyo yajua mnatambulikana kama wahaini na ni kwa sabaubu tu ya nchi yetu ni ya amani, lakini mtu kama wewe ungetakiwa uwe somewhere ujileze vizuri nani kakupa mamlaka hayo na pia unawesemea wa kinani
YouTube
Aiseeeee this is more than serious Mkuu. Una picha yake? Mheshimiwa Kalembwana ni Bwana ama Bibi?
Mwanajamii one nimekaa nikafikiria ulichoandika hapa imenilazimu nirudi kukujibu tena, hivi wewe mwanajamii one hii ni nadharia ya kusoma vitabuni tu au umewahi kuona mgonjwa ukiwa kama daktari? Ingekuwa hivyo basi wagonjwa kifafa wote wangekuwa walemavu na wenye makovu kichwani kutokana na kujibamiza kichwa wanapoanguka ghafla kama ulivyosema..
Jamani msiingilie fani za mwenzenu hapa jamvini. you can't be a master of everything......acha kutoa hisia zako kwa maelezo ambayo yanakinzana na sayansi ya tiba.Binafsi ni daktari wa binadamu na naamini kuna madaktari wenzangu humu tusaidiane. Mgongwa wa kifafa huanguka ghafla, anatupatupa miguu na anatoka mapovu mdomoni baada ya tukio hilo lakini pia anakuwa kama kakamaa hata anapobebwa anaonekana kama hakunjiki. Mgonjwa anapokosa nguvu na kushuka taratibu chini bila kuanguka ghafla katika tiba inahusiana na uchovu wa mwili na akili kutokana na kutoupumzisha mwili baada ya kazi nyingi .
Du !
Haya kumekucha huko Jangwani mwenye news zaidi atujulishe hii ni kwa mujibu wa TBC ndo naangalia hapa, Rais Kikwete kadondoka live akihutubia.
Rais Jakaya Kikwete akiwa amebebwa na walinzi pamoja na wasaidizi wakati alipoanguka Jukwaani Jangwani
Masononeko na vilio mara baada ya Rais Kikwete kuanguka (photo: PwaniRaha.com)
VIDEO:SEHEMU YA KWANZA
SEHEMU YA PILI
Aiseeeee............I can't beleive my aize hii ni post ya pili zaidi ya miaka mitatu, lakini karibu bwana tunajadili rais wetu nasikia na kifafa.Inanisikitisha sana na kuhuzunika nikiwaona watanzania kwa maelfu wakifurika kwenye mikutano ya Kikwete! naomba wajiulize huyo kikwete binafsi kwanza kayaboresha vip maisha yao? je nchi iko bora kuliko alivyo ikuta? Matatizo yote ya uchumi, ujambazi wizi wa fedha ya umma, mabomu ya Mbagala,safari zake za nje kila mara zisizokuwa na sababu na umaskini wa watanzania bado huyapi watanzania sababu za kutomchagua Kikwete? Basi watanzania wana matatizo ya kisaikolojia au ni wapumbavu! Come on these fools can`t be serious...
MBOGELA.......... HEBU REJEA JINA LA ALIYEANDIKA POST ULIYOIJIBU HAPA. MIMI MWANAJAMIIONE SIJAANDIKA LOLOTE WALA SIJUI LOLOTE ULILOANDIKA HAPA.Mwanajamii one nimekaa nikafikiria ulichoandika hapa imenilazimu nirudi kukujibu tena, hivi wewe mwanajamii one hii ni nadharia ya kusoma vitabuni tu au umewahi kuona mgonjwa ukiwa kama daktari? Ingekuwa hivyo basi wagonjwa kifafa wote wangekuwa walemavu na wenye makovu kichwani kutokana na kujibamiza kichwa wanapoanguka ghafla kama ulivyosema.
Ukweli ni kuwa wagonjwa wa kifafa hasa cha muda mrefu kama watu wazima huwa wanajua hiyo hali inapowatokea, huweza hata kuomba mkeka walale, au utaona anaondoka karibu na kitu cha hatari kama moto. Sasa kama hujataka kukubali matokeo kama alivyowahi kuomba kiti mwanza ukabaki kubishana kichwani mwako ukitaka kujikaza ndio mwili huanza kunyong'onyea hatimaye kuanguka. Alafu unasema huwa wanarusha miguu, na kutoa povu, tungeona miguu wapi wakati kamera zilihamishwa? tungeonaje povu wakati alizungukwa na TIS? Unajua kuna wagonjwa kifafa wengine huwaweza kuachia hata mkojo? na ukiona huyo utasema wote lazima wakojoe? Hujawa mkweli hapa ingawa hatu rule kuwa atakuwa na kifafa, lakini katika fani yako ulitakiwa uwe na list of possible diagnosis na zidhani katika hatua ya awali kama hii unaweza ku-rule out kifafa.
YouTube - Jk aanguka jangwani 2010