Mkuu Shalom!
Mkadakara anajua anachokifanya, hes very smart ndo maana nikamjibu vile. Masa amekuwepo tokea 2006 ni hivi karibuni amekuwa branded m-dini! Tukisimama kwenye issues Rev Masa hana shida hata wanaoamini Mizimu kivyao! Ila nikichokozwa najuachukua silaha zangu ghalani
1st post updated
Removed Down Clip; why INV? Pls take it back we need to know what happened to our president or you are proving JF is not indepenent during elections
Aliyeondoa clip ni huyo mtoa habari wa UWT Michuzi a.k.a Mdau mkuu wa libeneke.Shame on you Michuzi.Hii inapaswa kuwa changamoto kwa JF kuwa na reliable source of info badala ya kutegemea traitors like Michuzi.

Kuondolewa kwa clip inayomuoyesha Rais JK akila ngwala ktk viwanja vya Jngwani kwa ugonjwa usiojulikana bado imenishtua sana mimi!
Kupasha au kupashwa habari ni haki ya kila MTZ na ipo hata ndani ya katiba;inakatazwa tu kuleta habari za uongo,za uchochezi au hata za kuleta mgawanyiko wa kidini,kikanda na kikabila;lkn kama habari husika ni ya kweli hata kama inazungumzia ukabila,udini au hata siasa inaruhisiwa watu waisome kwa mujibu wa sheria!
As far I know;Kuanguka Jangwani kwa Rais JK ni tukio la kweli lisilokuwa na uongo hata punje;kujaribu kuondoa clip inayoonyesha kuanguka kwake Rais JK sio tu kunawanyima nafasi wa-TZ kuona wenyewe kuhusu mustakabali wa Rais wao bali ni uvunjaji mkubwa wa sheria ulioambatana na uoga usio na maana yeyote kwa wana JF na watz kwa ujumla
Nalaani vikali kwa kitendo hiki cha kuondolewa kwa clip inayomuonyesha Rais JK akidondoka kiwanjani Jangwani kwa sababu imenikosesha mimi niliye mbali na Dar kusoma na kuona kw amacho yangu mwenyewe kilichotokea ;hii inaanza kunipa hisia kali kuwa baadhi ya wagombea haswa wa CCM hawagusiki wala hawafai kujadiliwa kwenye jukwa la JF;na hii itaipunguzia JF heshima yake iliyoanza kujijengea kama ni chombo huru cha majadiliano kisichofungamana na chama chochote kile cha siasa!
Clip inayomuonyesha Rais JK akila mwereka kwa sababu ambazo bado Ikulu haijasema ni nini irudishwe mara moja tena bila masharti yeyote ile hapa JF!Kumbuka kuwa si sheria za usalama wa Taifa wala ya uchaguzi mkuu ya mwaka 2009 inayokataza watz wasione matukio yanayowapata wagombea wake ikiwemo kwa Rais kuanguka akihutubia!
Bado motto ya JF ni"wanachama wake wapo huru kusema na kuwaambia watz vitu vinavyotokea ili watz wengine wajue"?
Naungana na wewe Komredi katika kupinga kuondoa clip ya JK akianguka Jangwani kwani ni kutunyima habari sisi tuliombali na Dar. Mara baada ya kupata taarifa za Kunaguka kwa Jk nilikimbilia JF nikijua ni jukwaa linalotoa habari bila woga wala upendeleo. Lakini kwa kitendo hiki kilichofanyika leo kimenihuzunisha sana na kuiondolea JF heshima yake!

Du !
Haya kumekucha huko Jangwani mwenye news zaidi atujulishe hii ni kwa mujibu wa TBC ndo naangalia hapa, Rais Kikwete kadondoka live akihutubia.
Rais Jakaya Kikwete akiwa amebebwa na walinzi pamoja na wasaidizi wakati alipoanguka Jukwaani Jangwani
Masononeko na vilio mara baada ya Rais Kikwete kuanguka (photo: PwaniRaha.com)
VIDEO:SEHEMU YA KWANZA
SEHEMU YA PILI
kwani michuzi moderator wa JF? Could u Pls substantiate your accusation, otherwise your allegations has to be refuted
Halafu mwingine akasikika akisema TOT endeleeni kutumbuiza, huku mwenzao yuko chini akipigana na izirael, huwezi amini.Halafu kama alivyokwisha sema Mag3... baada ya kuanguka anaibuka mtu na kupayuka.... CCM OYEEEEE
Halafu mwingine akasikika akisema TOT endeleeni kutumbuiza, huku mwenzao yuko chini akipigana na izirael, huwezi amini.
ha ha ha ha, i know it's a sad day lakini hapa imebidi nicheke kama sina akili nzuri.
yaani mafisadi wa ccm hata hawako sensitive kabisaaaa, mtu anaitisha TOT kutumbuiza wakati kikwete yuko chini anakula mchanga?
Kikwete kaanguka akizindua kampeni,Dkt Slaa alianguka alipoteuliwa tu kuwa mgombea,akavunjika mkono.Wote inaonesha wana ugonjwa wa kuanguka anguka.
Hatujui dkt Slaa ataanguka tena wapi.Na ile picha ya dkt Slaa alipoanguka ****** mbona haikuletwa hapa JF,au ndio tatizo la kutegemea source kichama.