Mkuu Kevo heshima mbele kiongozi.
JK alikuwa anajua waziri Ngeleja angeweza kutatua hili tatizo, kumbe hakujua jamaa ni bomu vibaya sana.
Si kila kitu anatakiwa kufanya yeye ndiyo maana ana mawaziri na mawaziri ni watu wakubwa sana serikalini, sisi wetu sijui hawajui hilo.
Kwani JK alitumia kigezo gani kumteua Ngeleja?
Sura
Ikulu inasema wafanyabiashara ndio wamemwomba Rais. Ni sawa tu........
Lakini baba wa taifa alisemaje kuchaguana kwa kuangalia sura ya mtu?
kuna kitu mwanakijiji kadokeza in one if the threads sijui ndo hivi vinaanza kitokea.... Lets wait. Huenda mapendekezo yote ya Zitto yakatekelezwa lakini wakatwambia kiujanja ujanja ni initiative zao. Ama kwelu serekali yetu.
Amri atoe mwingine sifa apewe mwingine...Duh! Mwenye kupenda chongo huona kengeza!
Zitto alikuwa wapi muda wote?
Alisema kama una m-mind mtu kutokana na sura yake mwalike nyumbani kwako mnywe chai.
Hii inabidi iwekwe kwenye katiba naona inatu cost...lot
Huu ushauri wa kutumia IPTL ndio unasifiwa kiasi hiki?
Ama kweli miafrika ndivyo tulivyo. Yaani tatizo la umeme limekuwa linatabiriwa kwa mwaka mzima sasa na Kikwete hakufanya chochote ila leo ndio anaamka na kuanza kutoa amri kuwa IPTL iwashwe?
Alikuwa wapi siku zote? Zitto alikuwa wapi muda wote?
Ina maana mapendekezo ya Zitto - kuwasha IPTL na kutaifisha Dowans - ndio silver bullet ya matatizo ya umeme Tanzania?
Mimi nilikuwa wapi muda wote? Naomba urudie swali tafadhali.......
Ina maana mapendekezo ya Zitto - kuwasha IPTL na kutaifisha Dowans - ndio silver bullet ya matatizo ya umeme Tanzania?