MANI
Platinum Member
- Feb 22, 2010
- 7,320
- 6,376
Avatar yako imenifanya nitabasam!
Woman Of Substance ni kweli lazima uwe mvumilivu kuwa mtz maana kila uchao hapakosi jipya lenye kukera !
Avatar yako imenifanya nitabasam!
..this has come 6 years too late!![/QU The ricule abt this ni kwamba,it seems hakubali kwamba ni yeye ndo mhusika na siyo wasaidizi,na apunguze safari na siyo jopo tu,km Davos,angehesabu viongozi wengine wenye majukumu waloenda,siyo kumaliza tu pesa zetu,ONDOA SAFARI YA NJE! Hazina tija ndugu,hakuna atakayekupongeza kwsbb ni wajibu wako kufikiria,ina maana wasaidizi wakishauri ahamie akaishi marekani akija ofisini bongo atakubali? Acha kutowajibika,hilo ni lako siym wasaidizi!
Ningemuona wa maana ka angesema safari zake zipungue!!
Mnafiki mkubwa! Aache kebehi.
Leo ndo ameliona hilo? Anajikosha, anatafuta gia yakuingilia bongo baada ya speech yake kukosa mvuto DAVOS.
Tanzania tumelogwa bahati mbaya aliyetuloga ameshakufa.
ameshafilisi nchi ndo anashtuka usingizini.
katika magazeti ya leo kuna habari inayosema kikwete aagiza wanaoratibu misafara yake kwenda nje ya nchi kupunguzwa.
Mytake
1. Hivi ni kweli alikuwa ajui kuwa misafara yake ni mikubwa?
2. Kilio cha wananchi kimekuwa yeye kusafiri mara kwa mara nje ya nchi
3. Je kwa hilo agizo lake litakuwa mwarobaini kwa kilio cha wananchi?