hahaaah Ndio iliyobaki Ivuga ! Hana analowaza, ni sherehe na misiba.huyu rais mbona anapenda sana kwenda kwenye mazishi?
Muda mfupi uliopita rais Jakaya Kikwete amehudhuria mazishi ya Mbunge wa kwanza wa Muleba David Bakanyoma Zimbihile(80) katika mtaa wa Bugombe kata ya Muleba akiwa na My wife wake.Kinachojadiliwa hapa Muleba ni kuondoka kimya kimya bila kuzungumza chochote juu ya huyo mpigania uhuru.
Wengine hapa nilipo wanabishana, eti JK alionekana kuwa na mawazo mengi hasa anapofikilia WaTz wanavyoteswa na mgawo wa umeme
ili kwavile mnamchukia msimsuse kwenye msiba wake,huyu rais mbona anapenda sana kwenda kwenye mazishi?
Duh, this is too much. Asingeenda, mngeuliza kama JK hathamini mchango wa huyu mpigania uhuru. Jamani tujadili issue nyeti zinazolihusu taifa, haya mengine ambayo ni more social tuachane nayo. Zaidi ya yote sisi hatujui uhusiano wa ndani uliopo kati ya JK na marehemu au ndugu wa karibu wa marehemu. Huku kwenye matatizo tumwache ashiriki nasi. Tusibeze kila jambo!!huyu rais mbona anapenda sana kwenda kwenye mazishi?
Hamia mwembe chai uone kama atakosa.Mwambieni asikose ktk mazishi yangu mwisho wa mwaka huu tafadhali bandugu...!
huyu rais mbona anapenda sana kwenda kwenye mazishi?
Sa mlitaka mzee wa wa2 azungumze nin hapo msibani wajamen?